Mustapha Jaffer Sabodo

KIDUDU

JF-Expert Member
Sep 17, 2012
2,554
1,920
Jamani naombeni msinikejeli wala kunidhihaki.

Naombeni mwenye mawasiliano ya Mzee Sabodo anisaidie Pm. Tafadhali naombeni mnisaidie hasa barua pepe, na namba ya simu hata ya ofisini.

Natanguliza shukrani.
Kidudu
 
Mhhh jina lako na hiyo avatar hata ningekua na mawasiliano nae ningesita kukupa ,
 
Nenda ofisini kwake pale mmnazi mmoja/ kitumbini ila ujue kujieleza coz masecretary wake wagumu kweli
 
kwan huyo ni nan na anashuulika na nini mimi mbona simjui naomba kujuzwa pls kama.hamtojali
 
Nenda ofisini kwake pale mmnazi mmoja/ kitumbini ila ujue kujieleza coz masecretary wake wagumu kweli
Mkuu nipo mbali na dar ndiyo maana nikataka hivyo
 
Back
Top Bottom