Mustakhabali wa EAC?

Mshiiri

JF-Expert Member
Jun 16, 2008
2,012
508
Why other country members wanaangalia Tanzania kwa macho ya husda! Hawajui hata sala ya kuliombea bunge letu inazuia jambo hilo? Kila kitu wanafikiri Tazania is lagging behind and kwa deep thinkers hapo inference ni kwamba is because we have what they want and so they have no red light to have them. Ardhi safi, maji safi, mito mikubwa na maziwa safi, rasilimali anwuai n.k.

Ardhi
According to Dr. Kamala ardhi wanaitamani first grade na wanafikia hata kusema eti tukubaliane kuwa mkenya akikaa Tanzania 5yrs basi apewe haki ya kuishi milele.

Maoni yangu
Wao na waweke sheria zao kuwa Mtanzania akikaa kenya 5yrs na apewe haki ya kuishi na waone ni nani watamwandikisha kwa miaka yote hadi 2020. Obviously itakuwa karibu na 0. Ni tanzania tu wanaangalia na si otherwise

Uamuzi
Watanzania tutatumia sana akili kuishi na hawa member states kama Mungu alivyoahidi wanaume kuishi kwa akili na wake zao

Wewe je unaonaje?
 
Back
Top Bottom