Museveni azijibu kibabe nchi za Magharibi pamoja na kuwekewa vikwazo

Jumanne Mwita

JF-Expert Member
Nov 18, 2014
424
1,044
Kampuni ya Magharibi ilikuja na kupendekeza kuchimba urani. “Nichimbe na upeleke wapi?” Walisema“ Isafirishe nje ili kuzalisha nishati ya nyuklia kwa ajili ya umeme na dawa. Nikawauliza: “Mmesikia fununu kwamba kuna binadamu hapa Uganda wanahitaji umeme? Walitoweka.

"A Western company came and proposed to mine uranium. “Mine it and take it where?” They said: “Export it to generate nuclear energy for electricity and medicine. I asked them: “Have you heard a rumour that there are human beings here in Uganda who need electricity? They vanished."

Screenshot_20230809-172056_X.jpg
 
Kampuni ya Magharibi ilikuja na kupendekeza kuchimba urani. Nichimbe na upeleke wapi?” WalisemaIsafirishe nje ili kuzalisha nishati ya nyuklia kwa ajili ya umeme na dawa. Nikawauliza: “Mmesikia fununu kwamba kuna binadamu hapa Uganda wanahitaji umeme? Walitoweka.

"A Western company came and proposed to mine uranium. “Mine it and take it where?” They said: “Export it to generate nuclear energy for electricity and medicine. I asked them: “Have you heard a rumour that there are human beings here in Uganda who need electricity? They vanished."
View attachment 2712774
😂😂😂
 
Museveni ndio Mjomba pekee aliyebaki Afrika.Mwingine anayekuja ni yule dogo wa Niger.

Sent from my V1901A using JamiiForums mobile app
 
Tunamsifu Museveni bila kujua waganda wengi watapitia hali ngumu sana. Uganda haiwezi kuwavimbia mabeberu ikabaki salama. Na bora mabeberu kuliko wachina wanaokukopesha kisha wanakuja kutaifisha mali zako ukishindwa kuwalipa. Hizi siasa za Museveni ni za kishamba na anajijali mwenyewe na kikundi cha watu wake wachache. Mabeberu ni kwenda nao kinafiki kama wao walivyo wanafiki.
 
Waafrika sisi ni mataira sana,sasa mnamshambulia Museveni kisa kutowakubalia Wazungu,mijitu iliyotesa Mababu zetu na ikachukua rasirimali zetu,wewe Swine kabisa .

Sent from my V1901A using JamiiForums mobile app
waafrika wenzang ni wanafki sana, kamwe siwez kua upande wa mwafrika hata kama yupo right..ntakua upande wa wazungu forever coz ni wakweli na wapo wazi sana..

Toka nianze watenga ngoz nyeusi naona mafanikio..

Anyway mamb ya ushoga hayakubaliki but viongoz WA afrika ni WA ovyo sana thus why hata akiwa right ntampinga tuuu.
 
Back
Top Bottom