Musa Zungu mbunge wa Ilala ndiye aliyependekeza na kushinikiza kuwepo kwa tozo kwa wananchi fukara wa Tanzania. Bila aibu yo yote alisimama bungeni kutoa hoja ya kuanzisha wizi wa fedha za wananchi huku yeye akiwa anaendeleza biashara zake haramu za madawa ya kulevya!
Mwigulu akiwa amefikia upeo wa kufikiri akapokea hoja hii bila kujali madhara ambayo wananchi wangepata! Tena akijisifu kuwa ni daktari wa uchumi kumbe ni daktari wa utapeli!
Sasa Mwigulu mwenyewe amefuta na kupunguza viwango vya tozo kwa aibu kubwa! Mwigulu hafai kuendelea kuwa katika ofisi ya umma hata bure kwa sababu ni fisadi aliye kubuhu!