Musa Assad aingia mkataba wa ukaguzi na Sweden

Sweden wakijua jinsi mpunga wao unavyotafunwa kizembe, hakika wataacha kutoa misaada, naomba hapo Prof apunguze tu uadilifu wake.
 
Utasikia,walivyoona nimemtumbua mtu wao waliokuwa wanamtumia wakaamua wamchukue wampe ajira.
 
Kuanzia leo hatutaki tena misaada toka Sweden.., maana inakuwa kama biashara, sasa tunakaguana vipi wakati ni msaada, tenda wema sepa zako..
 
Mdini sana, kama tu Ramadhan Dau

Sasa aliyeandika Uharo si ni wewe hapo?

Mimi sikuandika popote neno uharo
Maelezo yako bado yana uzushi umeshindwa kuthibitisha. Umeishia kusema mdini kama Rama Dau.

Kwa hiyo mtu kufanya manuva ya chumba cha kuswali kurahisisha ibada zake ni udini? Waafrika tuna kazi sana.
 
Tanzania Nchi ya ajabu sana watu wenye akili wanapingwa na kuondolewa kwenye mfumo ili wabaki wapigaji tuu na vichwa maji kama mimi ili wasiwepo wa kuhoji harafu tunafurahia kwenda kufanya kazi nje...Nchi nyingi wanaojitambua hizo ndio hazina zao
 
CAG mstaafu;Musa Asad ameingia mkataba wa miaka mitatu (2019-2022) wa kukagua hesabu zote za fedha za misaada inayotolewa na swedan kwa Tanzania.
....................
Una maoni gani kwa Asad na kwa serikali ya Tanzania?

Maoni yangu ni kuwa huyu mtu anahitajika kimataifa, hivyo ukitupa dhahabu, wengine wanaiokota.
Tanzania inabidi tu wawe wapole vinginevyo misaada itasitishwa.
 
Assad ni mtu muadilifu ila inamapungufu yake.... Jamaa ni mdini sana...
Sema kweli,Uislamu ndo unakusudia kuwa ni kasoro yake?
Sasa Uadilifu ande upataje kama asingekuwa mdini,Dini yake unaliathiri vipi Taifa?
Wacheni chuki zeni nyie na ubaguzi wa kidini.
 
Nyinyi mnaosema Asad ana udini ni udini gani huo aliufanya? Mnaweza kuthibitisha?Au ile alama ya uchaMungu kwenye paji lake la uso ndo linawatisha.....hebu acheni chuki za kijinga.Wazungu wamegundua ana kitu kikubwa yule mzee.
 
Hahaha vichekesho vingine bana

Ina maana wao Sweden hawajiamini mpaka wahitaji mtu wa tatu kukagua mahesabu yao? Au wanafikiri kwa kufanya hivyo ni kumuumiza Magu? Hahaha wajinga kweli
Wewe utakuwa ni kima, pumbavu kabisa!
 
nilibahatika kukaa kijiweni kidogo siku mbili hizi, nilitabasamu ndani kwa ndani.
kwa sababu nilishuhudia kijana akimwita mwenzake "mkaguzi mkuu"
 
Back
Top Bottom