Mungu wa wakristo

Jituoriginal

JF-Expert Member
Feb 8, 2010
350
31
Ni mwema na hana Ubaguzi .amemleta mtumishi wake Babu wa Loliondo .kuwapa tiba hata wenzagu mimi tusiomwamini Isa Bin Mariam kuwa mwokozi na mwanaye wa pekee. pain killer futa na post hii .
 
Haeding yako inaashiria udini! Hakuna Mungu wa nani wala nani. MUNGU WA KWELI NI MMOJA TU NA NI WA WATU WOTE
 
USISAHAU "MUNGU" HUYU NDIE ALIYELETA DECI

Haishi vituko!

wewe na wote waliojiunga na DECI mlikuwa hamna imani na mungu na ndiyo maana mbegu zenu zikaliwa ..... wanaokwenda kwa babu wakristu kwa waislam kwa imani ya mungu wanapona
 
Angekuwa Mungu wa Maca saudia arabia . ndie kamleta babu wa loriondo makafiri tusingepewa dawa na babu,
 
Naogopa sana ile siku itakapogundulika kwamba dawa ya babu ina madhara kwa afya!! ....naogopa sana matokeo ya majibu hayo kwa sababu wote waliokunywa dawa wanagoma kupimwa katika hospitali ili kuthibitishwa afya zao.... HERI MIMI SIJAINYWA! nasubiri siku miamoja themanini zipite....
 
USISAHAU "MUNGU" HUYU NDIE ALIYELETA DECI

Haishi vituko!

NA MUNGU HUYOHUYO NDiye wa akina KIBWETERE. Enyi Wagalatia msio na akili nani aliyewaloga ? Wagala mna matatizo saana.ninachoomba Siku mkiambiwa hiyo dawa ya babu ilikuwa feki msijifiche.
 
Back
Top Bottom