Mungu alishapanga.!!!!

mgunda1990

Member
Jul 19, 2012
73
4
habar wandugu,kiukwel cjui niseme n bahat au ndo vle tena,nimesimuliwa kuwa wakati na umri wa miaka 2 na nusu nilihudhuria sherehe ya kufkisha siku 40 baada ya kuzaliwa bint ambae leo n mke wangu wa ndoa,,,najckia aman na furaha saaana...
 
Mmmh furaha indelee hivyo hivyo mkuu, sasa nauliza, je usingehudhuria usingepata hiyo amani?
Hebu tujuze.
 
madamex,nadhan n bahat kwangu frm initial stage,cdhan kama hii k2 n kawaida...
 
hiyo ilikuwa love at first sight!sipati picha ulivyokuwa ukitzama guu lake la bia na macho yake ya gololi na nyusi za mbalamwezi huku ukifurahia rangi yake ya chungwa ,na midomo mizuuuri!ahahahhahahha
mbarikiwe jameni,amani iendelee kutawala nyumba yenu na sala ikazidi kuwa ngao yenu
my take
napenda jamani siku moja moja watu tunatuma post za aina hii sio kila siku mke wangu mchawi,mume wangu ana nyumba ndogo,namatamani housegirl,nataka kujiua sipendwwi,mke wangu hataki tutumie hela yake,mume wangu ana kibamia,mara boss wa mke wangu anamsololea mke wangu basi mradi matatizo tu kila siku!wengine wataogopa sasa kuoa/kuolewa au kuwa na mahusiano yaliyo imara!
 
We jamaa una determination kama Obama(From Kenya to US prezidaa)....hongera...ntakuletea binti yangu untabirie kama atakuja kuwa kifaa au vp??......LOL
 
habar wandugu,kiukwel cjui niseme n bahat au ndo vle tena,nimesimuliwa kuwa wakati na umri wa miaka 2 na nusu nilihudhuria sherehe ya kufkisha siku 40 baada ya kuzaliwa bint Abubakar ambae leo n mke wangu wa ndoa,,,najckia aman na furaha saaana...

Mbona sijaona kitu hapa?
 
napenda jamani siku moja moja watu tunatuma post za aina hii sio kila siku mke wangu mchawi,mume wangu ana nyumba ndogo,namatamani housegirl,nataka kujiua sipendwwi,mke wangu hataki tutumie hela yake,mume wangu ana kibamia,mara boss wa mke wangu anamsololea mke wangu basi mradi matatizo tu kila siku!wengine wataogopa sasa kuoa/kuolewa au kuwa na mahusiano yaliyo imara!

umenichekesha sana. Hapa natamani jogoo la jirani, ningelipikia pilau nile nikiwa na khanga moko na juisi ya ubuyu. Ngoja nikaanzishe thread uje unishauri kama nilisololee ama nilinyakue
 
macho huona kile yanachotaka kuona!

Hapana dear,nimeshindwa kumuelewa mtoa mada,amehusianishaje yeye kumuoa binti na kujumuika kwenye sherehe ya mkewe kutimiza siku 40 tena yeye akiwa na miaka mi 2!Labda wewe unaweza nielewesha kuna uhusiano gani hapo!
 
mh!walahi halitaruka hilo kanga moko na juice ya ubuyu yenye kairiki na tangawizi?lakini si la jirani hilo hebu liache liwikie huku huko kwenye ua wa jirani yako!
umenichekesha sana. Hapa natamani jogoo la jirani, ningelipikia pilau nile nikiwa na khanga moko na juisi ya ubuyu. Ngoja nikaanzishe thread uje unishauri kama nilisololee ama nilinyakue
 
Hapana dear,nimeshindwa kumuelewa mtoa mada,amehusianishaje yeye kumuoa binti na kujumuika kwenye sherehe ya mkewe kutimiza siku 40 tena yeye akiwa na miaka mi 2!Labda wewe unaweza nielewesha kuna uhusiano gani hapo!
hukumuelewa my dear!yani hapo anamaanisha mkewe alimuona enzi hizo mtoa mada akiwa na miaka 2 na mke wake ndio ilikuwa sherehe ya kumtoa 40 baada ya kuzaliwa!kwa ufafanuzi zaidi ni kwamba jamaa alihudhuria sherehe ya mkewe akiwa anatoka 40,enzi hizooo ye ana miaka mi2.umemsoma sasa?
 
umenichekesha sana. Hapa natamani jogoo la jirani, ningelipikia pilau nile nikiwa na khanga moko na juisi ya ubuyu. Ngoja nikaanzishe thread uje unishauri kama nilisololee ama nilinyakue

Ukimwagiwa maji ya moto usinisumbue kukupeleka hospital!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom