Mume wa dada yako(shemeji) anapo mgegeda mkeo.

..ingawa background ha stori yake cjaipata fresh ila kama ndo hivyo ili kumuweka roho juu na wewe asikujue mtumie hizo picha na ujumbe kwa njia yoyote ya siri ila hakikisha unabaki na originals. Nakwambia atadata coz hatajua nani au wangapi wana siri yake!
 
Wadau hapa tushauriane imetokea shemeji yangu mume wa dada mtoto wa mama mdogo ana mgonga(lack of a better word) mke wa mdogo wake na mkewe hii kitu nime iprove kwa macho yangu nadhani dogo mwenye mke hajui wala sista nae hana anacho kijua.....niuchune au niweke mambo hadharani? (ushahidi wa picha ninao) ninacho hofia ni kwamba nikisema ntasambaratisha ndoa zote mbili ya dada na ya dogo na kinacho niuma ni pamoja na shemeji kumuoa dada yetu bado anakula na mke wetu hii sio dharau jamani?....

Wafichue washenzi wakubwa hao! fanya haraka na Mungu wa mbinguni atakusimamia na kukupa thawabu.
 
Wasiliana na Erick Shigongo hizo picha ni deal kubwa kwenye yale magazeti ya udaku. Likitoka tu unahakikisha nakala za kutosha simewafikia wahusika wote wa tukio, ndugu na jamaa. Hapo utakuwa umefikisha ujumbe kwa walengwapata walau utapata vijisenti vya kurudisha gharama za picha.vijise
 
Huyo atawamaliza wote huyo. Akimaliza wake zenu atawatafuna na nyie. Huyo ni kama simba aliyeonja nyama ya binadamu huwa haachi mpaka auliwe. Msanue huyo akafie mbele. Kunaaaambeleges!

aisee Chinga One unless hujamuelewa saragossa ila kwa jins ulivyomijibu hapa chini nimethibitisha kwamba hujui kwann umemjibu hivi

Usitafute nikutukane mkuu nani umeskia ni punga mpaka aliwe?
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom