Avatar
JF-Expert Member
- Mar 7, 2012
- 11,127
- 11,909
Anahitajika mwanaume aliye tayari kuwa mume mzuri,
umri kuanzia miaka 30,
Anayejitambua na mwenye hekima, akili na reasoning ya kutosha.
Awe mkristo, ila asiwe mlokole,
Awe na upendo wa kweli,
Asiwe mnene sana,
Asiwe mfupi sana,
Awe na elimu kuanzia degree na kuendelea,
Awe mfanya kazi au Mjasiliamali.
Awe tayari ku adopt mtoto nitakaye mzaa muda si mrefu.
Sifa za muombaji
Msichana , Black beauty natural
Urefu 155cm
elimu , degree ya kwanza
Muajiriwa wa taasisi moja mjini Dsm
Mcha Mungu
Mkatoliki
Mwenye sifa hizo aje PM, Mwanaume mweupe sana haitajiki, pia mchaga hatakiwi, wengine woote karibuni. napokea application hapa
Mtoto hana baba au?
Mi nikajua ni vischana vya sekondary wenye hii kasumba ya ufupi urefu weupe na nini!! (Kumbe hata wa mama wa humu)
Anza kujitambua wewe then utapata mwanaume anaejitambua pia, kama huto jitambua usipoteze muda kusubiri