mume hatoi unyumba

nadhani ndiye mwe nye kesi, alidhani itakua rahisi tu... kumbe kuna malowya, wabwabwajaji na nakungwi wamemrudisha praimary ya mapenzi!!:doh:
sio mimi na ingekua mm si ningesema tu bila kuogopa khaaaa!
mimi siwezi kuvumilia ningembaka kwa nguvu lazima khaaa! kuninyima mi raha kisa na mkasa
 
At least kamanda na wewe umeona huo uzito wa miezi mitano. Yaani hapa tunaongelea gap ya krismass mpaka may ya mwaka unaofatia. Huyo Kanumba na maigizo yake hawezi kuigiza hii. Aidha Aminata katuingiza chaka au tutangaze hali ya hatari kwa hii ndoa hewa.

siwezi kuingiza mtu chaka ishu iko hewani na shost wangu anaumia uko mweeeeeeh! anataaka alafu hapewi
 
............ama yule wa nje anatoa tigo mana wadada siku hizi hawajambo(just saying)
na kweli
mwanamke akikumbana na mwanamme aliyewahi/anayekula hapo, hata afanye nini
mwanamme hatakaa aridhike na atakwenda tu kutafuta huo mtandao nje.
 
na kweli
mwanamke akikumbana na mwanamme aliyewahi/anayekula hapo, hata afanye nini
mwanamme hatakaa aridhike na atakwenda tu kutafuta huo mtandao nje.
ningemkata iko kinakomtia kiburi tuone atafanyaje
 
nina rafiki yangu kaniomba ushauri na mimi sikuweza kumpatia majibu
ameolewa wana miaka mi4 sasa ktk ndoa na wamebarikiwa mtoto wa kike .......mume wake ni doctor private hospital....
mara ya kwanza alikua anarudi sa moja au akichelewa sana sa mbili ila alikua hazidishi hapo......miezi 6 iliyopita akaanza kuja sa nne usiku na sa ingine asubui akija anatoa sababu kuliletwa mgonjwa kazidiwa sana aliitaji msaada wa haraka so wakabaki kumpatia huduma ,sa ingine anasingizia majeruhi wengi wa ajali leo,mara ooh! nilikua namsaidia doctor mwenzangu kazi kidogo......
ikaja ikafikia hatua hata unyumba hampi shost wangu anamuambia leo nimekutana na mtu kaharibika kila sehemu sina stimu nipe tu wine nilale mana akili imechoka,mara majeruhi wa ajali leo wamenichefua,mara leo nimeona mgonjwa wa cancer sina mood kabisa hata ya msosi(akawa na akija anasema kashiba kabisa hawezi kula)
yani ikawa kila akirudi anakuja na stori ya kuhuzunisha kuliko ya jana yake ili umuonee huruma na kuacha kumuuliza kuhusu unyumba yy alale tu......badae akaanza safari za mikoani mara nimetumwa kikazi,mara nimetumwa kwenda kusaidia hopital ya mkoa moshi kcmc,mara morogoro,mara mbeya yani ikawa inapita hata mwezi hajamuona home anapiga tu simu kua kashindwa kurudi anatuma tu pesa M pesa na kulipa bili ya umeme na maji ju kwa ju
siku moja karudi anamkwaruzo mkubwa kiunoni akasema eti meza ofisini ilimkwarua khaa!.......shost analipiwa ada na huyo mumewe mzumbe university na mdogo wake yuko CBE mwaka wa pili wote analipia huyo mume sasa anashindwa kuondoka mana akiondoka service zinatoweka zote izo......
jana kanipigia simu kua ana miezi 5 hajamgusa wala kuguswa na mumewe eti akimuuliza anajibiwa umekosa nn hapa ndani kama ni hela nakupa na card moja ya bank unayo wewe ukitaka hela katoe,umeme nalipa,maji,kodi .pia unasoma unataka nini zaidi na nishakuambia sina urithi wa kukuachia zaidi ya elimu so nitakusomesha mpaka mwisho
mm nilitaka kumuambia ondoka ila roho ikasita badala yake nikaishia kumuambia pole mpz..............nimekuja huku kuomba ushauri nimuambie nini sasa huyu shost wangu mana namuonea tu huruma asije kuuliwa na HIV......
sijasema wanalala miezi mitano .......yani anakujaga bada ya wiki alafu kila akija anajidai kachoka sana so hamgusi na aliniambia kuna siku alimshika ila ikaamka na kulala kila ikiamka inalala..........au anamatatizo ila hataki mkewe ajue anaogopa ataachwa mana who knows

...hahahaha....hii story is getting better and better, enhee!...:A S-frusty2:
 
sa si aseme kama mambo hayawezi siku izi mweh! kuliko kutosema

...jamani magonjwa ya BP na kisukari yameshika kasi sana miaka hii, bila booster kweli waweza adhirika
kwa mama watoto aliye na umri wa kama huyu dada...na kusema lililokusibu mnh...
acha aishi kwa matumaini, mganga hajigangi ee!
 
Kwa maoni yangu hapa kuna tatizo...tena siyo dogo,

Kama alivyosema mwanasheria (Kloro)...mwanamume anayemaliza miezi 5 bila chakula ya watu wazima, basi huyo ni mgonjwa tena yuko mahututi!!

Pia kingine cha kuchanganya/kushangaza...huyu baba anatoka huko anakotoka, kama kweli ni small house halafu anakataa chakula cha nyumba kubwa???...Basi ana matatizo ya kimaadili....Kama inawezekana basi atumiwe ile theread ya Boss akaisome. Kuna makabila mengine hili ni kosa kubwa....katika jammbo kama hili, lazima wafanye tambiko..Chakula cha mama watoto lazima kiguswe hata kama ni sawa na kuweka sahihi!

Pamoja na kilio cha mama, jamaa bado anatoa huduma za kibaba kwa mambo mengine as if nothing has happened or is happening....This is paradoxic!!

Anyway...Mama avumilie kwanza aendelee kulipiwa karo...

Babu DC!!
 
...hahahaha....hii story is getting better and better, enhee!...:A S-frusty2:
yani ikawa kila akirudi anakuja na stori ya kuhuzunisha kuliko ya jana yake ili umuonee huruma na kuacha kumuuliza kuhusu unyumba yy alale tu......badae akaanza safari za mikoani mara nimetumwa kikazi,mara nimetumwa kwenda kusaidia hopital ya mkoa moshi kcmc,mara morogoro,mara mbeya yani ikawa inapita hata mwezi hajamuona home anapiga tu simu kua kashindwa kurudi anatuma tu pesa M pesa na kulipa bili ya umeme na maji ju kwa ju

NDIO MANA NIKAMJIBU KUA HAKUNA SEHEMU NIMESEMA WANALALA KILA SIKU BILA KUFANYA SA SIJUI WAPI KUMEKUVUTIA ZAIDI

sijasema wanalala miezi mitano .......yani anakujaga bada ya wiki alafu kila akija anajidai kachoka sana so hamgusi na aliniambia kuna siku alimshika ila ikaamka na kulala kila ikiamka inalala..........au anamatatizo ila hataki mkewe ajue anaogopa ataachwa mana who knows
 
ila Aminata una details zote hadi ndogo ndogo kweli lol

simaanishi ni wewe :)
si ni shost wangu hajanificha hata kimoja kanipa stor yote.......mm nilijua ni utani sa alivopiga jana na kusema miezi5 nikaona sasa ishu nzito hii mweh!
 
Hapa kuna tatizo kubwa saana Aminata.... Huyo Mke kwa upande wangu namuona kana kwamba ni very SELFISH.... (Sorry dear kama nitakukwaza for she is your friend...) Sababu za mimi kufikiria yupo selfish ni as follows....

Kwanza... Hio story the way rafiki yako kakusimulia (taking it for granted kua umeandika kama alivokusimulia); Ni kana kwamba anataka awe sympathised kua yeye ndie anae onewa na mwanaume ndie wa kulaumiwa na afikiriwe kua ana mienendo mingine hasa huko nje hasa ya wanawake wengine.... Labda nakosea ila mimi ninavoelewa... Kwa mwanaume ambae ana hawara nje kwa miezi sita akujia usiku na mara asubuhi; kama kweli hilo ndio linalomuweka huko nje angeleta jeuri kwa mkewe kwa kutojali kama mkewe atajua kua ana mwanamke ama lah! IMO kama for 6 months ndio hivo hivo na mumewe anakuja lalama ugumu wa kazi nyumbani.... yawezekana ni kweli bana.... After all ma Doctor waligoma, na wale ambao walikua na roho ngumu ya kutokubali kuacha wito wao wa kujali wagonjwa kwa kweli wameelemewa.

Pili... Inaonesha wazi kabisa kua hampendi mume wake.... For jinsi maelezo yalivo ni wazi mume hajapunguza upendo na huduma ndani ya nyumba ndio kwanza kakazana na yupo reliable na responsible sio tu kwa familia yake (mke na mtoto) hadi ndugu wa mke.... (Kama upendo/mapenzi yangepungua inaonesha wazi huyo rafikiyo angegusia na hizo pande) Lakini kuto gusia kwake ina maana hata hajatafakari hili la Upendo na Mapenzi.... ila tu kazingatia tu tendo la 6/6 (nayo sio sababu hajapata) ila kuonesha tu kua anaonewa. Ukizingatia ni wazi anaishi na mumewe sababu ya huduma anayopata hawezi pata pengine.

Kwangu hio inanifanya nione anaibomoa nyumba/ndoa yake kwa mikono yake miwili.....

HOWEVER

  • Kuna baadhi ya kazi ambazo wanaume hufanya na kuwachosha mno.... To the extent hadi ile wazo la kufikiria kwenda kubanjuka (na twajua nguvu watumiazo pale) inamfanya ashindwe kabisa kufanya tendo. Hata hivo miezi sita ni mingi, angeweza hata jitahidi atake lakini akamiliza ndani ya sekunde.
  • Yawezekana mumewe ana psychological problems ambazo zimeathiri hadi nguvu zake za kiume.... Kumwambiea mke wake labda anaona aibu na kuona kama anaji emasculate; hivo kaongeza bidii na mda wa kufanya kazi ili tu kuepuka kua mda mrefu na mkewe kitandani.
  • Na kweli yawezekana ana mwanamke..... Ila jinsi story ilivo kaa kaa.... IMO Siamini kua ndio kigezo za kushindwa timiza tendo.

AU kama Lawyer Kloro alivo ongea......lol.... It may be true bana maana maadili haya! Only God knows.

Mhhhhhhhhhh! vichwa vingine sio vya karne hii. Vimewahishwa tu kuja duniani, hata hivyo ashukuriwe Mwenyezi Mungu kwa 'madesa' ya kufa mtu!

Salutation for you Madam!
 
Lawyer kuna wale ambao wanaishi mapenzi ya miaka 47, kuongea vitu vinavohusiana na Mapenzi na mkeo ni kama kujidhalilisha na you as a man kuambiwa kua hujui utendalo. Sex yenyewe ni wakati wa giza tu na kuvua zote marufurku! Hivi mwanaume wa namna hio pale itapo tokea kwa sababu zozote zile apoteze nguvu zake za utendaji... Do you think aweza ambia the wife?

Na kumbuka kua kuna wanaume wengine wapo sooo weak. Yaani yeye hata mara moj kwa mwezi inatosha tena sio zaidi ya goli.... huyo ukileta mzaha anaweza kukuweka jangwani miezi 6 kabisaaa....

Kwa uzoefu wangu,

Wanaume wengi wanalalamika kwamba mke mmoja hatoshi.....Sasa huyo anayekaa mwezi mzima halafu anaruka mara moja, basi ni mgonjwa.

Ila pia wanawake wanatakiwa kujua kuwa tiba ya kwanza katika matatizo kama hayo anayo mama mwenye nyumba...Ni hatari kuwaachia wanawake wa nje wamtafutie Mr/baba watoto dawa/tiba!!

ilo la msingi umenena

Siyo kila ndoa imesimama katika msingi wa mapenzi...zipo nyingi tu ambazo zimekaa kibiashara utadhani ni grocery shop!!

Babu DC!!!
 
si ni shost wangu hajanificha hata kimoja kanipa stor yote.......mm nilijua ni utani sa alivopiga jana na kusema miezi5 nikaona sasa ishu nzito hii mweh!

mi kila siku huwa nasema hii mambo ya ushosti balaa sana, wanasimuliana hadi mikunjo, watu wanabisha.... ona sasa
 
Kwa maoni yangu hapa kuna tatizo...tena siyo dogo,

Kama alivyosema mwanasheria (Kloro)...mwanamume anayemaliza miezi 5 bila chakula ya watu wazima, basi huyo ni mgonjwa tena yuko mahututi!!

Pia kingine cha kuchanganya/kushangaza...huyu baba anatoka huko anakotoka, kama kweli ni small house halafu anakataa chakula cha nyumba kubwa???...Basi ana matatizo ya kimaadili....Kama inawezekana basi atumiwe ile theread ya Boss akaisome. Kuna makabila mengine hili ni kosa kubwa....katika jammbo kama hili, lazima wafanye tambiko..Chakula cha mama watoto lazima kiguswe hata kama ni sawa na kuweka sahihi!

Pamoja na kilio cha mama, jamaa bado anatoa huduma za kibaba kwa mambo mengine as if nothing has happened or is happening....This is paradoxic!!

Anyway...Mama avumilie kwanza aendelee kulipiwa karo...

Babu DC!!

Ebo...........
 
Back
Top Bottom