Mukandala calls UDSM Academic Staff 'lazy and money hungry'

BAK

JF-Expert Member
Feb 11, 2007
124,789
288,015
You are lazy, money-hungry teaching staff `

2009-04-19 13:51:21
By Robert Ochieng

The University of Dar es Salaam Vice Chancellor Prof Rwekaza Mukandala this week tore apart his lecturers, calling them lazy after the latter blamed `semesterization` for being responsible for the declining educational standards at the university.

Prof Mukandala`s heavy censure came amid a discussion period after presentation of academic papers by the university's History Department's members of staff at the just concluded Julius Nyerere Intellectual Festival Week.

According to the lecturers, various departments at the university are currently experiencing multiple problems ranging from understaffing to inadequate teaching and learning resources to over registration of students, which have severely stretched the limited resources available.

These, among other critical issues, they said, have taken toll on the quality of education offered at the country's oldest higher learning institution.

They called upon the university management to take a serious look into the issues with a view of revamping, overhauling and even detaching some programmes in order to reverse the situation to the rapturous applause by students.

Brooding over all the while, Prof Mukandala pensively sat in the midst of the attentive audience.

With his neck slightly angled, he held his head between his palms, making great effort to conceal the disgust that was boiling within him as he took in assailments from his subordinates.

At the close of the session, he seized the opportunity and lashed out at the lecturers, accusing them of being unable to even manage their own time.

``Time and again you have been reminded to submit revised curricula of the programmes you teach, but out of sheer laziness, deadlines come and go with no one living up to his responsibility. We currently have almost 1,200 faculties, but only about five or six faculties have submitted theirs,`` a visibly agitated VC thundered.

Prof Mukandala took them to task to account for how they spent their time running from one institution to another, claiming to be teaching while the truth is that they are hungrily chasing after money.

``How can you possibly teach here for two hours, head to IJMC (Institute of Journalism and Mass Communication), teach for another two hours, and mind you, that is privately, before you go and lecture at Kijotonyama, another two hours. In the evening you board a bus to Dodoma where you offer a two-hour lecture, and on your way back, you branch off to SUA (Sokoine University of Agriculture), another two hours?" he posed to the bemusement of the audience.

The VC pointed out that they were simply not according their duties the seriousness they (duties) deserve. He warned them to stop lying, and instead face up to the challenges like academicians that they are.

Prof Mukandala went on: ``University is an all-too-important institution that has to run. I can't fire everybody because there will be no one to do what needs to be done here.``

At one point he became a wise counselor, at another he assumed a father figure status, reminding the audience that a university operates with numerous power centres, and each seeking special attention.

``Decisions that we make are always compromised by these power centres, but we never abdicate our responsibilities,`` the university administrator pointed out.

With time he regained his composure and said that the lecturers need not waste their time whining, but instead help where possible to find means and ways of solving problems facing the university.

SOURCE: Sunday Observer
 
Colleagues, assuming the following article quoted Prof. Mukandala, (the Vice Chancellor in the UDSM) correctly, what are your opinions?
 
Money-hungry (is not proportional ) laziness! kama anazungumzia Laziness kama acedia, then that is wrong, na inaaminisha ni tatizo la uongozi.

1. Je kama wao ni wavivu hatua gani yeye kama Mkandala ameshachukua, au naye ni mvivu wa kuwawajibisha staff.

2. Money-hungry, nadhani hiyo ni issue ya kawaida kabisa. Professor wa chuo analipwa sh. millioni 2.5, PhD holder analipwa milioni 1.5 au 2.

Kijana aliyemaliza mlimani, na anafanya kazi kapuni fulani nzuri anaweza mpaka akalipwa sh. milioni 3 kwa mwezi!( ngoma droo) na prof wake!

Kwa sababu hii, maprofessor wanacompensate simply wapate fedha zaidi.

KOSA LILIFANYIKA WAPI?

Nikiwa kama staff wa chuo, na nimeona staff wa nchi zingine wanaishi vipi, Makosa yalifanyika at that time walimu wanalipwa vibaya mno. Kipindi hicho wataalamu wengi walianzisha makampuni yao, kuna makampuni nayajua yanawaingizia walimu mpaka milioni 100 kwa mwezi! halafu chuo kinampa milioni 1!. Kutoka that time walimu wakawa wanadeal na makampuni yao.Mengi ya haya makapuni ni ya wazee. si rahisi kukuta walimu vijana wanamakampuni.

NINI KIFANYIKE?

Kwa walimu wa kizazi cha sasa dawa ni kuwalipa vizuri, bila hivyo wataishia mitaani na haitasaidia kusema walimu wanapenda fedha! huku taifa linaangamia.kumbukeni pia walimu hawa wengi wao ni bright they know things!!!

Zuieni kabisa hawa walimu kuwaza kufungua makapuni binafsi , kama kosa lilishafanyika miaka ya nyuma, leo hii ni kuangalia wapi 'mlipoanguka' na kurekebisha
 
Last edited:
``How can you possibly teach here for two hours, head to IJMC (Institute of Journalism and Mass Communication), teach for another two hours, and mind you, that is privately, before you go and lecture at Kijotonyama, another two hours. In the evening you board a bus to Dodoma where you offer a two-hour lecture, and on your way back, you branch off to SUA (Sokoine University of Agriculture), another two hours?� he posed to the bemusement of the audience.
Kwa upande mmoja tunaweza kusema lecturers are money-hungry, lakini kwa upande mwingine lecturers wanajitahidi sana amid poor working environment.

Siwezi kupingana na Prof. Mukandala kwamba wahadhiri wa UDSM wanaendekeza njaa kwa sababu wapo wengi sana miongoni mwao walio kwenye payroll zaidi ya moja, I mean wameajiriwa zaidi ya sehemu moja. Kwa ustawi wa elimu ya nchi hii sio nzuri kwa kuwa kufundisha chuo kikuu inahitaji maandalizi na close supervision kitu ambacho ni muhimu sana hasa kwa mazingira ya UDSM na wingi wa wanafunzi.

But, On the other hand, the social and economic affair of Tanzania push these lecturers kufanya kile ambacho wengi wetu hatukipendi. Katika nchi ambayo huduma na haki zinapatikana kwa rushwa huku raia wake wakiamini bila fedha hakuna linalowezekana sitegemei kuona responsibility ktk secta yoyote. Kila Mtanzania sasa hivi amekuwa money-hungry maana ndio fikra ambayo wanasiasa na watendaji wote wa serikali wameipandikiza vichwani kwa raia.

Inapokuja kwa wahadhiri, tusifikiri kwamba wao hawana social-life, au hawataki kuwa na economic-power kama ya Mh. Chitalilo ambaye analipwa zaidi ya 2 Mil. (tax exempted) kwa mwezi pasipo kuvuja jasho!! Ubinadamu unawasababisha wawe hivyo maana wanashindwa kuelewa kama watoto wao wataweza kusoma na kupata huduma za afya stahiki katika nchi iliyojaa rushwa ambayo viongozi wanaoga ubinafsi.
 
Dah! naona thanks haitoshi hapa mkuu, umeua!

Just ask all professors and PhD holders in politics, kitu gani kimewapeleka kule???!-Pesa
 
Na yeye amefanya nini kuwawezesha lecturers pale chuoni badala ya kulalamika? He is a leader for God's sake.
 
I believe Prof. Mukandala's speciality is Public Administration, that combined with his outstanding successes in both career and entrepreneurial endeavors had me expecting so much more from him than the simplistic statements he makes! I expected at least an analysis of the situation from him, and strategic (even if tentantive) solution to the multifaceted problems that faces UDSM at the moment.

Kwa kifupi, he feels self rightoeous while hata yeye anajua mafanikio yake binafisi hayajatokana na hayo anayowaambia (waliokuwa) wenzake wafanye. He is so removed from the living reality of most people in the public sector and especially the UDSM academic staff ambapo alitakiwa apajue na kupaelewa vizuri. Maneno yake hayabadilishi fact kuwa mazingira ya kufanya kazi kwa academic staff ni magumu na si rewarding bila kuchakarika, na wanaweza kubaki na kufundisha tu as long as wanachakarika, hiyo milango ya ikifungwa hakuna msomi atabaki University kusubiri mshahara!

He has taken a stand common to most political leaders in Tanzania (once wakishakuwa kwenye madaraka) ku-chastise one thing while doing exactly the opposite, thinking people dont know! I spoke to one UDSM academic staff about this, and he told me, "hata Mukandala anajua siku hizi Tanzania kila mtu anahangaikia maisha yake na familia yake. The 'national project' ilishaisha na walioanza kuimaliza pia wanaondelea kujinufaisha at the expense of everybody else ni wanasiasa, wakubwa serikalini kwa kuwa 'money-hungry' na puppets wengine walioungana nao. Yeye angetusaidia kama angetuambia alijengaje maghorofa na apartments including kawe kwa mshahara wake bila kuwa money-hungry!" The don continued to say "kama politicians na watawala wanaendelea kucheza games za make-believe, wafanyakazi katika public sector wataendela na michezo ya kuigiza halafu taifa litabaki kuandika historia ya nani kaharibu nchi!
 
Mimi sina la kucomment maana conflict of interest zinanibana. Akina Balile wasije wakanishikia bango. Msio na conflict of interest endelezeni hilo jamvi. Mie nitakuwa mtazamaji na kutoa shukrani kwa wale watakaoleta point za uhakika.

Thanks
 
Tatizo la kushuka kiwango cha Elimu Mlimani ni ishara tu za Tatizo sugu linaloikabilia setka ya elimu Tanzania. Walimu in general wawe wa chekechea au ni prof hawathaminiwi. I mean wanalipwa kiduchu. Ndiyo maana mtakumbuka Tuition ikawa mbadala. Hivyo kwa Dr (s) kukimbia vyuo mbalimbali kufundisha is part of Tuition ili wagange njaa. Na impact yake ni kuwa wanachoka and therefore productivity inashuka bila wao kujua though wanajiamini kwelikweli!!! Wana course programs walizotayarisha 20 yrs ago madesa yemekuwa dublicated million times. Mwili unachoka!! huwezi kuzunguka kama yoyo still uwe the same. Kufundisha inatakiwa mwalimu na mwanafunzi mjipange sawasawa. Mwalimu afundishe, atoe kazi asahihishe then re visit the topic kama imeeleweka if not the case airudie tena sio tu kugawa desa!!!! Shit! Wanafunzi vitendea kazi hakuna I mean How accessible are they katika vitabu vya kiada visivyo vya mwaka 1947? Je Internet access for information? wnafunzi hao hao kila leo wana njaa maana they do not have enough funds( sio topic ya hapa). We are dealing with Mukandara na wenzake.

Ninakubaliana na what they are doing kama decent Tanzanians Maana wanageweza kuuza mitihani, etc ili kupata kipato. they are trying to earn through their Intellectual and the same time kufundisha.

Ninakubaliana na Mukandara kujua tatizo. Mukandara alinifundisha Mlimani Public Admin. Ukitaka Upate A yake kama nilivyofanya ni ku quote 'Scott'. Sasa mie wasiwasi wangu ni kuwa Tangu aukwae UV naona sasa Theories za Scott amesahau ama anakuwa prof. wa theories amabazo huwezi kuweka katika vitendo. I.e Akiwa VC na anjua tatizo la wahadhiri wanakimbia huko na huko kuganga njaa je amaechuakua hatua gani kukidhi mahitaji yao? je kama ni lazy theories zake za motivation na ndugu yake Mogella zimeishia vitabuni tu? au theories X zimeishia wapi. AMEFANYA NINI SO FAR? MBONA HILO HAKUSEMA?????? SIASA NA Ngonjera!!

Mukandara asiwalaumu wenzake kwa bahati yake ya Mtende toka kwa Reddet. REDDET!!!!! si wote wenye bahati ya REDDET!!!!!!!!!!!!!!!. Kule ndiko alikojenga his muscles mpaka wenzake wanamuangukia ili wapate kusimamia research!!!!! huenda ndiyo mwanya wa kupata influence na power among his peers mpaka akaukwaa UVC.

AWALIPE VIZURI THEN AWABANE WAWE PRODUCTIVITY- ANATAKIWA A SET STANDARDS KAMA VC. na walio chini yake wawe responsible. awalipe awabane. sio talalila kama mwana siasa!!!!!! Poor prof. Ameishaingia katika mkumbo wa kulaumu wakati yeye ndiye mtendaji mkuuuuu.
 
Hivi huyu VC wakati yuko REDET alikuwaje? Hakuwa anafanya kazi zaidi za REDET kwa ajiri ya kipato kuliko lecturing? Vinginevyo badala ya kupiga kelele, aonyeshe njia ya nini kinatakiwa kufanywa kuboresha uwezo wa walimu kufundisha
 
Mukandala kama VC kuwashutumu ma-lecturer in public ni kama kujishutumu yeye kuwa ameshindwa kuwaongoza na kukiongozaa chuo, vinginevyo tatizo analijua kuwa si uzembe bali ni maslahi duni kwa hiyo hawezi kuwabana!!! ma-lecturer si wajinga, kaa nao uwasikilize mjadiliane jinsi ya kuboresha mazingira ya kazi!

kuhusu part time tena ndani ya Govt universities hii inakuwaje, ni nani kama sio mukandala na Ma-VC wengine wanalilea hili imekuwa TOO much, vijana wenye masters na PhD tunawaona wakisota kutafuta kazi katika vyuo vyetu na kupigwa tarehe za nenda rudi, oh mara serikali haijatupa kibali cha kuajiri nk wakati wao wanajipa nafasi za part time (kubebana) prof ... ni mtu wangu wa karibu ngoja nimpe hii kozi, nami ataniita kwake etc, na inwezekana hii part time kwa kiasi kikubwa inachangia kushuka kwa elimu, pia sijui kuhusu gharama zake inaezekana zikawa kubwa kuliko kama ungekuwa na staff wako ambae anaweza akafanya hata shughuli nyingine za kukiendeleza chuo.....
 
Mukandala kama VC kuwashutumu ma-lecturer in public ni kama kujishutumu yeye kuwa ameshindwa kuwaongoza na kukiongozaa chuo, vinginevyo tatizo analijua kuwa si uzembe bali ni maslahi duni kwa hiyo hawezi kuwabana!!!

By the way, kama mshahara wa 1.5 milioni kwa PhD holder na 2-3 milioni kwa Prof bado ni duni, hivi tunalinganisha na nani?. Na ni kiasi gani tunapendekeza kilipwe ili kilingane na 'hadhi' yao?
 
Hivi huyu VC wakati yuko REDET alikuwaje? Hakuwa anafanya kazi zaidi za REDET kwa ajiri ya kipato kuliko lecturing? Vinginevyo badala ya kupiga kelele, aonyeshe njia ya nini kinatakiwa kufanywa kuboresha uwezo wa walimu kufundisha

Alikuwa ni consultant mkubwa akipewa kazi na most bilaterals and multilaterals.
Alikuwa REDET, TEMCO ( election monitoring na ii ilikuwa ni bingo nzuri tu. Kote huko haikuwa haba eti.Iweje leo aone wenzake wana ulafi wa pesa na ni wavivu? Ingekuwa vema kama angekumbukia alikotoka hado hapo alipo, na uzoefu huo ukampa namna ya kuwaboreshea Lecturers na wanafunzi pia.
 
Ndiyo Wakuu,

Mimi simshangai sana Mukandala, wahenga husema TUMIKIA KAFIRI UPATE MRADI, nakumbuka yeye mwenyewe miaka ya nyuma aliwahi kugombana na Pro. Luhanga kuwa Mukandala alikuwa natumia muda mwingi kwenye REDET na TEMCO badala ya kufundisha. Sasa yeye amepata cheo.....what next. Hakuna kiti hapo ni siasa tu kwamba as long as ni VC basi analazimika kusema na siyo kutafuta solution.

Rgds
 
Mvivu wa kwanza ni yeye mwenyewe Mukandala aliyeshindwa kuwafanya walio chini yake wazingatie majukumu yao ya msingi
 
Ndiyo Wakuu,

Mimi simshangai sana Mukandala, wahenga husema TUMIKIA KAFIRI UPATE MRADI, nakumbuka yeye mwenyewe miaka ya nyuma aliwahi kugombana na Pro. Luhanga kuwa Mukandala alikuwa natumia muda mwingi kwenye REDET na TEMCO badala ya kufundisha. Sasa yeye amepata cheo.....what next. Hakuna kiti hapo ni siasa tu kwamba as long as ni VC basi analazimika kusema na siyo kutafuta solution.

Rgds

Akaja na slogan aliyokopi china, bila JK kujua akaivaa, ndiye yeye aliyemcoach JK kuhusu

Hali mpya, nguvu mpya na kasi mpya...

ghafla JK kanyamaza!!
 
Whatever the situation on the ground, this public and unprofessional tantrum is totally unbecoming of a man of Prof. Mukandala's lofty stature.

For a learned administrator who understands enough about "abdicating responsibilities" to lecture on that subject, parts of the above tirade does not show a deep understanding of this concept, and quite frankly contradicts the good Vice Chancellor.

The contradiction comes about in view of his admonishment, however true and necessary it be , the publicity generated and ensuing is almost certainly to prove more divisive than constructive.

In outing this publicly, even giving the VC the benefit of the doubt, Prof. Mukandala exhibited a lack of not only sensitivity but also effective tact and pragmatic principles.

The VC has a lot of responsibilities in the hiring and firing processes, and therefore indirectly is responsible for this debacle, here are a few questions

1.Is he taking any responsibility?

2.What has he done to contain and correct this situation?

3.Is he empathic enough seeing the picture from the lecturers point of view?

4.What measures are being taken to ensure the inherent characteristics necessary to this wanton disregard to professionalism amongst lecturers is spotted in future ?applicants and enabling UDSM to avoid academically and ethically challenged lecturers?

5.Given the dire conditions and his obviously frustrated state, will he be ready to resign and leave the post to a more positively inspired and vigorously energetic person?
 
1.
We currently have almost 1,200 faculties
. Hawa waandishi yaani kaazi sana: yaani 1,200 Faculties at UDSM?? Do they mean departments?

2. Over maslahi: kama mshahara ni (1.5- 3) m per month mnaona ni kidogo je mnalinganisha na nani? Mwal. wa Primary hupata 150,000 kwa mwezi! In other words, huyu lecturer hulipwa mara 10 hadi 20 ya Mwal. wa primary? How much is enough?
 
Tatizo la kushuka kiwango cha Elimu Mlimani ni ishara tu za Tatizo sugu linaloikabilia setka ya elimu Tanzania. Walimu in general wawe wa chekechea au ni prof hawathaminiwi. I mean wanalipwa kiduchu. Ndiyo maana mtakumbuka Tuition ikawa mbadala. Hivyo kwa Dr (s) kukimbia vyuo mbalimbali kufundisha is part of Tuition ili wagange njaa. Na impact yake ni kuwa wanachoka and therefore productivity inashuka bila wao kujua though wanajiamini kwelikweli!!! Wana course programs walizotayarisha 20 yrs ago madesa yemekuwa dublicated million times. Mwili unachoka!! huwezi kuzunguka kama yoyo still uwe the same. Kufundisha inatakiwa mwalimu na mwanafunzi mjipange sawasawa. Mwalimu afundishe, atoe kazi asahihishe then re visit the topic kama imeeleweka if not the case airudie tena sio tu kugawa desa!!!! Shit! Wanafunzi vitendea kazi hakuna I mean How accessible are they katika vitabu vya kiada visivyo vya mwaka 1947? Je Internet access for information? wnafunzi hao hao kila leo wana njaa maana they do not have enough funds( sio topic ya hapa). We are dealing with Mukandara na wenzake.

Ninakubaliana na what they are doing kama decent Tanzanians Maana wanageweza kuuza mitihani, etc ili kupata kipato. they are trying to earn through their Intellectual and the same time kufundisha.

Ninakubaliana na Mukandara kujua tatizo. Mukandara alinifundisha Mlimani Public Admin. Ukitaka Upate A yake kama nilivyofanya ni ku quote 'Scott'. Sasa mie wasiwasi wangu ni kuwa Tangu aukwae UV naona sasa Theories za Scott amesahau ama anakuwa prof. wa theories amabazo huwezi kuweka katika vitendo. I.e Akiwa VC na anjua tatizo la wahadhiri wanakimbia huko na huko kuganga njaa je amaechuakua hatua gani kukidhi mahitaji yao? je kama ni lazy theories zake za motivation na ndugu yake Mogella zimeishia vitabuni tu? au theories X zimeishia wapi. AMEFANYA NINI SO FAR? MBONA HILO HAKUSEMA?????? SIASA NA Ngonjera!!

Mukandara asiwalaumu wenzake kwa bahati yake ya Mtende toka kwa Reddet. REDDET!!!!! si wote wenye bahati ya REDDET!!!!!!!!!!!!!!!. Kule ndiko alikojenga his muscles mpaka wenzake wanamuangukia ili wapate kusimamia research!!!!! huenda ndiyo mwanya wa kupata influence na power among his peers mpaka akaukwaa UVC.

AWALIPE VIZURI THEN AWABANE WAWE PRODUCTIVITY- ANATAKIWA A SET STANDARDS KAMA VC. na walio chini yake wawe responsible. awalipe awabane. sio talalila kama mwana siasa!!!!!! Poor prof. Ameishaingia katika mkumbo wa kulaumu wakati yeye ndiye mtendaji mkuuuuu.
waonekana kumfahamu vema huyu VC kabla na ungependa kumsaidia kiushaurii...nimependa mchango wako.

mkandala kwanza pongezi kwa kutambua tatizo la wafanyakazi wenzioo..

wapatie suluhisho la kukabiliana na changamoto za kipato cha maisha kwani nina imani kubwa walimu walio wengi UDSM na hapa nchini kwa ujumla bado wako kwenye POVERTY REDUCTION PROCESS achilia mbali WEALTH CREATION STAGE ambayo bado ni kizunguzungu mbele...

UDSM ijibadilishe na iwe ya kisasa kwa kuwa na wide focus ya kutoa elimu kwa umma wa tanzania katika dunia ya leo..tunahitaji uongozi wa chuo ulio dira na mfano wa kufuatwa na entrepreneur yeyote anayetamani kufikia mafanikiooo.

nchi yetu ni kubwa kijiografia yenye kiu kubwa ya kufikiwa na elimu ya chuo kikuu kwa walio wengi...kuwa na uobgozi wenye business mind katika kutanua huduma zake in affordable and efficient ways ni hatua njemaa.

Kiongozi kulilia tatizo ni unyongee japo waweza kusahihishwa kwa mikakati ya kuboresha hali ili iwe ni fursa.

UDSM sio chuo bora kwa maana ya mfumo wake bali ni ukongwe hapa nchini ulopelekea wanafunzi wenye uwezo zaidi kimasomo kujiunga nacho kwa maana ya chagua lao la kwanza kutokana na kuwepo chenyewe kwa muda mrefuuu..

hilo lazima walitazame kwa makini kwani utoaji wao wa elimu huenda ukawa wa kiwango duni sana kama wanafunzi wenye machagua finyu wangekuwa ndo wakwao (mfano IFM, CBE, nk)

UDSM ibadilike kimtazamo kwa kuacha tabia ya kujenga umwinyi usio na nafasi kwani academicians hawana cha kupoteza zaidi in terms of material things kwani knowledge ni kipaji...

UDSM ipunguze matumizi yasiyokuwa ya lazima mfano kila head kuwa na gari, ofisi, zaidi ya kuvitumia kwa pamojaa.. VC natumai una gari zaidi ya moja...la nini???

kuweni na garama ndogo za uendeshaji na mboreshe masilahi yenu ili tija iongezeke...jaribu kujifunza uendeshaji wa vyuo vingine afrika vya aina ya UDSM!!!!!!
 
Back
Top Bottom