MUKAMA na KABURI LA BABA WA TAIFA

Mbelwa Germano

JF-Expert Member
May 7, 2011
789
289
Imepita kama siku tatu hizi,pale ambapo nilimsikia katibu wa CCM bwana Wilson Mukama kwenye taarifa ya habari ya TBC1 saa mbili usiku akibeza viongozi wa CHADEMA wakitembelea kaburi la Baba wa Taifa. Baada ya taarifa ile nilijiuliza maswali machache kama ifuatavyo:
  1. Ni dhambi kwa vingozi wa CHADEMA kutembelea kaburi la baba wa Taifa?
  2. Je, CCM wana hati miliki ya kaburi la baba wa Taifa?
  3. Viongozi wa CHADEMA ni Watanzania sawa na wale wa CCM, vilevile hata ambao sio watanzania wanaweza kutembelea kaburi la Baba wa taifa,Je Mukama anataka kutufundisha nini kuhusu hili?
WADAU NAOMBA MAWAZO YENU!
 
Cheo kikubwa cha kisiasa uzeeni na bila kutarajia kinampagawisha.
Kweli huyu ameshastaafu na akili yake inatakiwa kustaafu wewe subiri tu viongozi hawa wamezoea kula matapishi yao hautapita muda tutamuona tena yeye mwenyewe yuko pale prove me wrong.
 
Imepita kama siku tatu hizi,pale ambapo nilimsikia katibu wa CCM bwana Wilson Mukama kwenye taarifa ya habari ya TBC1 saa mbili usiku akibeza viongozi wa CHADEMA wakitembelea kaburi la Baba wa Taifa. Baada ya taarifa ile nilijiuliza maswali machache kama ifuatavyo:

  1. Ni dhambi kwa vingozi wa CHADEMA kutembelea kaburi la baba wa Taifa?
  2. Je, CCM wana hati miliki ya kaburi la baba wa Taifa?
  3. Viongozi wa CHADEMA ni Watanzania sawa na wale wa CCM, vilevile hata ambao sio watanzania wanaweza kutembelea kaburi la Baba wa taifa,Je Mukama anataka kutufundisha nini kuhusu hili?
WADAU NAOMBA MAWAZO YENU!

uKISKIA MTU MZIMA HOVYO NDO YULE! NYWELE NYINGI KAMA BRASH LA MIHOGO,MPSXXY
 
Huyu jamaa si ni yule aliyeshindwa kuongoza jiji la dar hadi ikaundwa tume ya keenja? sishangai kwa kauli yake, badala ya kuja na majibu ya hoja za wananchi juu ya maisha magumu yeye anakurupukia tena kwenye kaburi la baba wa taifa,- kazi kweli kweli.
 
alikuwa kijijini akiongea na wanakijiji ambao daima wapo CCM kwa kuwa tu ni chama cha Nyerere na si vingenevyo alikuwa anatafuta ushawaishi zaidi kwamba CCM ni Nyerere na Nyerere ni CCM ambayo kwa sasa haipo tena hiyo nadharia
 
jamani, maga,mba yamemshida kuyabandua, sasa hata kuropoka nako ashindwe? mbona bosi wake anaropoka mwaka wa sita huu na mambo yanamuendea vizuri tu??
 
Imepita kama siku tatu hizi,pale ambapo nilimsikia katibu wa CCM bwana Wilson Mukama kwenye taarifa ya habari ya TBC1 saa mbili usiku akibeza viongozi wa CHADEMA wakitembelea kaburi la Baba wa Taifa. Baada ya taarifa ile nilijiuliza maswali machache kama ifuatavyo:
  1. Ni dhambi kwa vingozi wa CHADEMA kutembelea kaburi la baba wa Taifa?
  2. Je, CCM wana hati miliki ya kaburi la baba wa Taifa?
  3. Viongozi wa CHADEMA ni Watanzania sawa na wale wa CCM, vilevile hata ambao sio watanzania wanaweza kutembelea kaburi la Baba wa taifa,Je Mukama anataka kutufundisha nini kuhusu hili?
WADAU NAOMBA MAWAZO YENU!
jamani hivi ni vituko vya mwaka!!!!!! kwanza kabisa mi naona tangu hyu mukama aingie madarakani amekuwa mtu wa kuropoka tu wala hajui anaropoka nini! jaribu kufuatalia yale asemayo hayana hata logic. naona yeye anasema bila kujali anasema nini. anashangaza na kuchekesha teh! teh! teh! hapa ccm ilipoteza mwelekeo zaid. makamba na mukama ni wale wale tu kasoro majina.
 
CCM=Chama Cha Makaburi.Wameshindwa kuwaletea maisha bora watz sasa wanajivunia makaburi. R I P CCM
 
No comment, ila uzee dawa, mwenzie Jaji mura aligoma katakata issue ya katiba mpya mwisho wa siku yeye huyo huyo akapeleka mswada kwa hati ya dharura
 
Haya huyo ndie mtendaji mkuu wa chama tawala kila siku, hapo ndipo ule msemo wa kuruka mkojo kukanyaga mavi unapo timia
 
Makamba na Mukama mlidhani kutakuwa na tofauti? Hicho chama hakiwezi kuzalisha kiongozi mwenye mwelekeo tofauti kwa sasa hat a kidogo. Ili kibadilike kinapaswa kufa,kuzikwa na kuzaliwa upya Kama mbegu ya taradani.
 
Huku kutembelea makaburi haswa lengo ni nini, huwa nashindwa kuelewa. Wankwenda kumuombea dua huyo aliye lala hapo kaburini au wanakwenda kuomba wafanikiwe mambo yao...!

Ni nini haswa lengo la kwenda makaburini.
 
Imepita kama siku tatu hizi,pale ambapo nilimsikia katibu wa CCM bwana Wilson Mukama kwenye taarifa ya habari ya TBC1 saa mbili usiku akibeza viongozi wa CHADEMA wakitembelea kaburi la Baba wa Taifa. Baada ya taarifa ile nilijiuliza maswali machache kama ifuatavyo:
  1. Ni dhambi kwa vingozi wa CHADEMA kutembelea kaburi la baba wa Taifa?
  2. Je, CCM wana hati miliki ya kaburi la baba wa Taifa?
  3. Viongozi wa CHADEMA ni Watanzania sawa na wale wa CCM, vilevile hata ambao sio watanzania wanaweza kutembelea kaburi la Baba wa taifa,Je Mukama anataka kutufundisha nini kuhusu hili?
WADAU NAOMBA MAWAZO YENU!
Hizo ndizo sample za viongozi wa CCM,hapa nchi yetu walipoifikisha ndilo jibu la ni viongozi wa namna gani."KUWASHANGAA NI KUWAONEA HUO NDIO UPEO WAO WA KUFIRI"MUNGU IBARIKI TANZANIA.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom