barafuyamoto
JF-Expert Member
- Jul 26, 2014
- 32,324
- 29,586
Sasa unamuuliza swali nani wakati wewe ndo umeleta taarifa?100M shule nne za kisasa ?????????????
Sasa unamuuliza swali nani wakati wewe ndo umeleta taarifa?100M shule nne za kisasa ?????????????
Amesema ataongezea milioni 10 kwenye milioni 90 ya mkopo wa gari ndio ifike milioni 100. hayo mengine ni speculation tu maana hajayasema.
Mfuko wa jimbo kwa ajili ya kuboresha shule jimboni ni kiasi gani? Na kama zinatosha kufanya hayo yaliyoorodheshwa kuwa yatafanya wa Muhongo, inawezekanaje shule za nchi hii bado duni ikiwa kila jimbo linaweza kufanya maboresho kama hayo (iwe kwa mwaka au kwa awamu moja ya miaka mitano?)Hivi unajua majimbo yana mfuko wa kuendeleza na kuboresha shule zake? Huhitaji kuambiwa kila kitu jiongeze mzee
Mfuko wa jimbo kwa ajili ya kuboresha shule jimboni ni kiasi gani? Na kama zinatosha kufanya hayo yaliyoorodheshwa kuwa yatafanya wa Muhongo, inawezekanaje shule za nchi hii bado duni ikiwa kila jimbo linaweza kufanya maboresho kama hayo (iwe kwa mwaka au kwa awamu moja ya miaka mitano?)
Atuambie hizo hela zitafanya kazi gani, hawakawii kuvidai vitu vyao wanapopigwa chini.
Haya mambo ya kila bunge likianza kupeana mikopo ya magari yakome sasa kama kila bunge unarudi bungeni unapewa mikopo ya magari tu kila baada ya miaka mitanoWaziri Muhongo amesema atawekeza kiasi cha shilingi 100 Milioni kwenye elimu jimboni. Pesa hizo ni shilingi Milioni 90 alizokopeshwa na bunge kwa ajili ya kununua gari pamoja na 10 Milioni alizotoa mfukoni mwake kusaidia jimbo lake. Muhongo alieleza hayo alipokua anaongea na gazeti la The Citizen.
The newly appointed minister for Energy and Minerals, Prof Sospeter Muhongo, said he will invest the Sh100 million he was given by Parliament as a loan to purchase a vehicle in the education sector in his constituency.
He told The Citizen on telephone that his decision was prompted by the fact that there was an urgent need to improve the learning environment in his constituency and the nation at large.
He said the office of Parliament had given him Sh 90 million to purchase a new car but he decided to add Sh10 million to fund education for his constituents.
The MP for Musoma Rural said he would want to see the money helping to improve the infrastructure of schools including construction of classrooms, teachers’ houses, libraries, laboratories, buying teaching materials, and purchase of desks as well as support students from poor families.
He went on to say that the fund also would be used to support science students who will be enrolled for university studies, instead of waiting for loans from the Higher Education Student’s Loans Board.
“I want to put more emphasis on education because I believe it is the key to success. The education environment in my constituency is not bad,” he said.
He said that the fund would also be used to construct new four modern secondary schools.
Some Musoma Rural residents commended the decision of their MP. Mr Gaya Masatu said that those were the kind of political leaders needed by wananchi currently as they have a lot of challenges facing them.
Mr Masatu said that leadership was all about to serve wananchi and not to use wananchi as a bridge for political leaders to get their own benefits.
Source: The Citizen
Rais, Mwalimu Magufuli alisema wazi sasa matumizi yasiyo ya lazima hapana. Kununua V8 badala ya Vitara ni atumizi yasiyo ya lazima serikalini.Hapa ni kazi tu na kubana matumizi.
Vipaji vya majivuno tu hakuna impact wee chikakaProf. Muhongo nakupongeza sana, maana brain nyingi za science zimetoka Majita, kwiramba/iramba ( mwibara) ukerewe, Musoma vijijini , Tarime nk! Shirikiana na wabunge wote mkoani Mara mkuze vipaji vya science kama zamani.
Milioni 100 ni pesa kidogo sana kutosha hayo yote aliyoyasema labda kama alimaanisha hizo 100 ndio mwanzo wa kutafuta zingine. Maana hizo hata shule moja hazimalizi kujenga hata nusu ya shule moja
kubalini mazuri yanayofanywa na msiowapenda.Huyu Si juzijuzi tu kavuta hela za mkopo wa gari alipoteuliwa na JK? Huwa sielewi mtu wa level ya uproffessor anapobeba Wazee wa Mtwara kwenda ng'ambo kujifunza mambo ya gesi, Naona bado anatuletea sarakasi zake. Ukiona mtu mjivuni sana lazima ujiulize mara mbilimbili. Kwa mfano Prof Mark Mwandosya ni gwiji aliyebobea, umewahi WaPo kumsikia akitambatamba ovyo?
Mkuu una masihara wewe, labda kama unataka kujenga Jangwani sec au Azania sec.Milioni 100 ni pesa kidogo sana kutosha hayo yote aliyoyasema labda kama alimaanisha hizo 100 ndio mwanzo wa kutafuta zingine. Maana hizo hata shule moja hazimalizi kujenga hata nusu ya shule moja
Milioni 100 shule nne inawezekanaje?au ulimaanisha nyumba vya madarasa?Ameeleza kwenye link niliyoweka hapo mwanzo. Kifupi kasema zitasaidia kujenga shule nne mpya za sekondari, kuboresha madarasa, maabara, maktaba,kununua vifaa vya kufundishia na kusaidia wanafunzi wanaopata nafasi vyuo vikuu wanaopata tabu ya mikopo.