MUHIMU:pita hapa uache maoni yako

Nfumu

JF-Expert Member
Nov 13, 2016
611
697
Wakuu kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu nahitaji kujua mambo kazaa kuhusu kusafiri kutoka Tanzania hadi Uganda nisije nikatapeliwa na wahuni
1.Ni mabasi gani mazuri kwasasa kwa kusafiria kutoka Tanzania hadi Uganda.
2.Je passport ya kusafiria ni lazima? na kama nikisafiri bila passport naweza nikaishia njiani nisiendelee na safari.
3.Je ipi ni njia fupi kutoka Tanzania kuingia Uganda bila vikwazo vingi
Kwasasa nipo mwanza kibiashara lakini baada ya wiki moja napaswa kuelekea Uganda kuchukua mzigo.
 
2. Passport ni lazima na ukijaribu kwenda kinyemela waweza pata matatizo ambayo gharama yake ni afadhali kuishia njiani. Nenda ofisi za uhamiaji hapo ulipo na ufanye mchakato wa kupata passport ya muda (mwaka 1, hiyo unawezaipata ndani ya siku 1 au 2)
 
Back
Top Bottom