Codon
JF-Expert Member
- Dec 16, 2011
- 628
- 93
Mwakajana 2011 taifa hili lilifanya maazimisho yakusheherekea miaka 50 ya Uhuru!Wizara mbalimbali zilishiriki ikiwemo Wizara ya Afya na Usitawi wa Jamii kitengo cha Maafa.Watumishi mbalimbali (Madaktari,Manesi,Wafamasia na Wahumudu wa afya pia Madereva wa Ambulance)walishirikishwa toka Manispaa zote tatu,Moi na Muhimbili.Na imekuwa ikielezwa sherehe zile ziligharimu taifa bilions of money!Chakushangaza nakusikitisha watumishi woote waliotajwa hapo juu hajapewa malipo yao kwakufanya kazi siku kumi nambili usiku namchana kuangalia Afya zawageni waalikwa pia viongozi na wanachi siku husika yaani tar 12!Inasemekana makundi mengine yalilipwa kipindi kilekile.Hali hii inaumiza sana,sijui nikudharau watu afya au kuna watu wakula hiyo hela!Haki itendeke!