muhamed na josef msikitini

Shiwawa

Member
Nov 30, 2011
30
10
Kulikuwa na wakristo wawili walikuwa
wana njaa kweli siku 3 hawajala
wakaona msikiti moja akamwambia
mwenza pale msikiti hatuwez pata
chakula mpaka tuwe waislamu sasa
tubadilishe majina moja akasema me ntajita muhamad mwenzake aka kata
asema sibadili jina me naitwa josef hvyo
hvyo wakaingia masjid asalamu
alekum masheikh walekum salam josef
akasema aise sheikh me naitwa josef
nina njaa kweli masheikh wakamulize mwenzako atwa nani akasema
muhamad masheikh aise mleteni josef
chakula na we muhamad maswaum
makbul haha alijuta whay kajita
muhamad
 
Joke nzuri ila maneno ya mwisho aliyotamka huyo shehe siyajui maana yake.Hii imeniondolea 'full taste' ya joke. Tafadhali asitokee mwanaJF na kusema joke hii ina udini.Hakuna kitu kama hicho hapa. Only a pure joke without anti-faith undertones. Halafu neno dogo kwa mleta joke:Kitu kinachoitwa punctuation ni adui yako?
 
Just a joke,hakuna udin hapo,by the way am a muslim lakin am grant that a joke,
 
Joke nzuri ila maneno ya mwisho aliyotamka huyo shehe siyajui maana yake.Hii imeniondolea 'full taste' ya joke. Tafadhali asitokee mwanaJF na kusema joke hii ina udini.Hakuna kitu kama hicho hapa. Only a pure joke without anti-faith undertones. Halafu neno dogo kwa mleta joke:Kitu kinachoitwa punctuation ni adui yako?

yaani alimaanisha kumtakia kheri ktk kufunga bila shaka ilikua siku ya kufunga na kama yeye ni Muhammad moja kw moja alipaswa kuwa kwnye swaum!so akaambiwa SWAUM MAQBUL!
 
Back
Top Bottom