Mugabe mahututi Singapore?

Askari Kanzu

JF-Expert Member
Jan 7, 2011
4,598
1,233
Update: Mugabe arudi Harare na kumaliza uzushi



Wadaku wameshaanza mambo yao!

Mugabe battling for life in Singapore

thumb.php

HARARE - The coalition government is rocked by the news that another cabinet meeting scheduled for tomorrow has been suspended again amid reports that President Mugabe is battling for his life in Singapore, sources in government revealed last night.

A senior Zanu-PF official whose identity cannot be revealed said the President is undergoing intensive treatment in Singapore and he also comfirmed that some members of his family have since joined him after boarding a chartered private jet on Saturday evening.

Mugabe reportedly went to Singapore to oversee university postgraduate studies arrangements for his daughter Bona, but this has not helped quell speculation that the president had health issues to contend with.

Questions have been raised as to whether it was necessary for Mugabe to personally oversee Bona’s registration or aides could have done that on his behalf.

Singapore University registration starts in September.

In a statement yesterday secretary for Media, Mugabe's spokesman George Charamba, said: “The Chief Secretary to the President and Cabinet Dr Misheck Sibanda wishes to inform all members of Cabinet that sitting has been moved from Tuesday, 10 April to Thursday 12 April 2012.”

Full story
Zimbabwe Mail
 
Last edited by a moderator:
baada ya wiki utasikia Mugabe yuko jukwaani akikanusha hizi taarifa
 
Ni Shujaa pekee aliyebaki katika Mapambano dhidi ya Ukoloni Mkongwe katika Afrika.
Na ni wanne tu Wa aina yake waliobaki hapa Duniani ,Wengine ni Ahmadnejad wa Iran, Hugo Chavez wa Venezuela
na Al Asad wa Syria.
 
Sasa akifa je utabiri wa Joshua utakuwa na nafasi tena? Yeye si alisema mmoja..
 
Kwani Raisi kuhudhulia mahafali ya bintiye kihitimu CHUO ni KOSA? Kwa nini mahasimu wa Mzee Mugabe specifically wazungu wanakesha wakisali eti AFE!

Wanapoteza muda mwingi wakihadaa dunia imuone Mugabe mbaya, wanafikili hilo linaweza kumfanya a-REVERSE uhamuzi wake wa kutaifisha na kuwagawia raia maskini aridhi ya masetera wa KIZUNGU.
 
Kwani Raisi kuhudhulia mahafali ya bintiye kihitimu CHUO ni KOSA? Kwa nini mahasimu wa Mzee Mugabe specifically wazungu wanakesha wakisali eti AFE!

Wanapoteza muda mwingi wakihadaa dunia imuone Mugabe mbaya, wanafikili hilo linaweza kumfanya a-REVERSE uhamuzi wake wa kutaifisha na kuwagawia raia maskini aridhi ya masetera wa KIZUNGU.

Hee, hivi imesemwa amekwenda kuhudhuria mahafali au kushughulikia registration? Mahafali kwa kiingereza ni graduation.
 
Sasa akifa je utabiri wa Joshua utakuwa na nafasi tena? Yeye si alisema mmoja..


Kwani kina Mugabe wawili? Nakumbuka gazeti liliandika kuwa Nabii TB Joshua ametabiri kifo cha Rais Robert Mugape wa Zimbabwe.... Kwani kuna rais mwingine wa Zimbabwe zaidi yake?
 
Ni moja kati ya viongozi shupavu,umaskini wa nchi yake uliosababishwa na wawekezaji na mabepari wa kigeni,amejitahidi sana kupambana na ukoloni mambo leo
 
Kutokana na habari nilozozipata kutoka mtandao wa twitter, kuna habari isemayo kuwa Rais Mugabe ni mgonjwa sana na amelazwa kwenye hospitali huko Singapore.

Sent from my GT-I9100 using Tapatalk
 
ZIMBABWEAN president Robert Mugabe was yesterday said to be fighting for his life in a Singapore hospital with an undisclosed illness, amid reports he had agreed to hand over power to his feared Defence Minister Emmerson Mnangagwa.

The Zimbabwe Mail, quoting a senior official of Mugabe's ZANU-PF party, said the President was undergoing intensive treatment in Singapore and that some members of his family had joined him after boarding a chartered private jet on Saturday.

The alarm was raised when the government postponed a cabinet meeting set for today.

Mugabe spokesman George Charamba said in a statement: "The Chief Secretary to the President and Cabinet, Dr Misheck Sibanda, wishes to inform all members of cabinet that sitting has been moved from Tuesday, April 10, to Thursday, April 12, 2012."

Mugabe, 88, was ostensibly in Singapore to oversee enrolment in a postgraduate course at Singapore University for his daughter Bona. University registration starts in September.

Source: Australian media
 
Mh! Kuna mtu huku amesema ndani ya masaa 72 kuna rais atakufa,nina uhakika alishapata taarifa za Mugabe!!
 
Alisema bado anajiona kama kijana mwenye miaka 18. Mi huwa sielewi kwani ukiachia urais ukapumzika haulii?
 
Back
Top Bottom