Mugabe anguruma msibani

Askari Kanzu

JF-Expert Member
Jan 7, 2011
4,598
1,233
Hapa namkubali mzee wa chimurenga!

Foreign firms must treat Zimbabwe as senior partners: Mugabe


photo_1301232565053-1-0_small.jpg

President Robert Mugabe, seen here in 2010, told foreign investors to embrace Zimbabwe's equity laws and treat Zimbabweans as "senior partners" if they wanted to operate in his country.


On Sunday 27 March 2011, 14:31 EST
President Robert Mugabe on Sunday told foreign investors to embrace Zimbabwe's equity laws and treat Zimbabweans as "senior partners" if they wanted to operate in his country.

"Those whites who want to be with us, those outsiders who want to work with us fine, they come in as partners, we are the senior partner, no more the junior partner," Mugabe said Sunday at the burial of a party cadre at the national shrine. "We are taking over. Listen Britain and America: this our country. If you have companies which would want to work in our mining sector, they are welcome to come and join us, but we must have our people as the major shareholders," he added.

The equity laws took effect in March last year and requires large foreign corporations to give majority stakes to local shareholders.

"Lonhro, Anglo American, Rio Tinto you must transform and become Zimbabwean, we want black people, our people, our young people. It's another dimension to the struggle. Let that lesson go deep," Mugabe said.

Mugabe said Zimbabweans can now do things on their "own" adding that the investors must come only on Zimbabwe's terms. "We can get them (foreign investors) as friends just as we got the Easteners such as the Chinese, Indians and others, but they come as friends not as our masters and superiors," he said. The empowerment law has raised divisions in the coalition government with Mugabe's former long-time rival, Prime Minister Morgan Tsvangirai, who has said that the new legislation scares off investors.

The empowerment law has also raised concerns from foreign investors who have operations in the country, while others have said the 51 percent must be revised downwards.

Some of the foreign firms operating in the country include British Petroleum, Total, Chevron, Barclays Bank, Standard Chartered and platinum giant Zimplats

Source::hug:
 
I love that man...very fine and straightforward.....no more senior white man at Zimbambwe..........
 
Amepatia. Ingefaa viongozi wa TZ wazungumze kama hivi kuhusu migodi na madini yetu. (Just a wishful thinking from my side)!
 
Amepatia. Ingefaa viongozi wa TZ wazungumze kama hivi kuhusu migodi na madini yetu. (Just a wishful thinking from my side)!
Ameongea kweli wa what should be which isn't. Tatizo je yeye mwenyewe anawa-treat his fellow blacks as equals in stature in the party or govt?
 
Anaweza kuwa na kasoro zake kama binadamu, lakini Mugabe ni kiongozi anayetetea watu wake. Laiti JK angeliwa na robo ya ujasiri wa Mugabe!
 
Ameongea kweli wa what should be which isn't. Tatizo je yeye mwenyewe anawa-treat his fellow blacks as equals in stature in the party or govt?
That (the red part) is what I am concerned of! You can either agree or disagree. It's your choice.
 
HE IS A REAL MEN...sio vibaraka wa east africa except KAGAME. Yaani unapewa vyandarua unatoa precious germs like gold na uranium...aaaghhhh
 
Huyu anatumia elimu yake aliysoma kuwainua wananchi wake. Angalia logic anazotumia kujenga hoja. Hivi inakuwaje viongozi wetu na u "dokta" wao hawaonyeshi uchungu wao juu ya maslahi ya wananchi? Au wao walisoma shule tofauti na alizosoma Mugable?
 
Amepatia. Ingefaa viongozi wa TZ wazungumze kama hivi kuhusu migodi na madini yetu. (Just a wishful thinking from my side)!


Mugabe yupo sahihi lakini mimi naona hizi ni kauli tu ambazo mataifa ya magharibi huwa wanaangalia tu ila kama wataitaka zimbabwe kwa maslahi yao wanaweza hata leo wakakupa jina la wewe ni dikteta na kesho wanakuondoa.
 
Huyu anatumia elimu yake aliysoma kuwainua wananchi wake. Angalia logic anazotumia kujenga hoja. Hivi inakuwaje viongozi wetu na u "dokta" wao hawaonyeshi uchungu wao juu ya maslahi ya wananchi? Au wao walisoma shule tofauti na alizosoma Mugable?

Anatumia logic sawa na hizo mantiki anazotumia ni za kimagharibi hata mimi na wewe huwa tunaziimba sana nyakati za shida hasa kwenye migomo ya kutaka mikopo ya asilimia kubwa katika vyuo vya juu,ila ukweli maneno mtupu hayavunji mfupa mkuu
ni nani atakae himili vishindo vya magharibi na hasa kama wanakuamulia jambo.
 
Huyu ni MWIZI tu na si mtu wa kuaminika.

Alifukuza wachimba Almasi na wengine hadi wakauawa ili achimbe yeye na washikaji zake.

Shida zote za Zimbabwe, kampuni zinazofanya Import na Export kwa hali ya juu, ni kampuni za watoto wake, ndugu zake na marafiki zake. Halafu mtu anakuja na kusema huyu jamaa anatetea watu wake.....

Waulizeni Wazimbabwe wenyewe watawaambia. Huwa hadi wanashindwa kusema kwa AIBU.
 
Huwa mimi namwona bado ni hero hapa Africa compared to these other frantic politicians we have
 
Back
Top Bottom