Muda Uwaziri mkuu wa Mh. Pinda wahesabika

Kutokana na riport ya kamati maalumu kuchunguza mwenendo wa oparation maalumu ya kutokomeza ujangili kufichua uvunjifu mkubwa wa haki za binadamu ni dhahiri sasa muda wa Mh. Pinda mtoto wa mkulima kuwa waziri mkuu unafika ukingoni, hii imejidhihirisha kutokana na michango ya wabunge mbalimbali na iwapo mh hatajiuzulu atakua amepoteza imani kubwa ya utendani wake kwa wananchi.

Aliyeweza kujiudhuru kwa hiarri ni Lowassa tu ambaye alionesha uwajibikaji, wengine wote zitabaki hadithi!
 
wadau!!
Habar za zilizopo ni kwamba moto huu unaoendelea bungeni ni mkakati wa rais wa kuhakikisha pinda anachia nafasi yake hyo ya uwazir mkuu ili mama migiro achue nafas yake.habari za ndani zinasema jk amecheza mchezo huo kwa ustadi mkubwa kuhakikisha bunge hili linampiga wazir mkuu chini ili mama huyo achukue nafs yake.Habar zilizopo ni kwamba jk aliapa na kumuhakikishia migiro lazma ampe nafs ya juu serikalin baada ya kuona nafs ya urais inazid kubana kutokana na mahasimu wake kuchangisha karata zao kumshinda migiro.habari imeendelea kuvuja nikwamba jk amemuhakikishia mama hyo kuwa atampa walau uwazir mkuu hata kwa mwaka mmoja.ikumbukwe jk ni bingwa wa kucheza dili zake kishamba,kama mnakumbuka wakat lowassa akishambuliwa bungeni jamaa alikuwa nje ya nchi anasikilizia kwa mbali,sasa hicho hicho ndo kinachojitokeza kipindi hichi wakat pinda anashambuliwa mh rais nchi za magharibi anasikilizia kinavyonuka huko bungeni,source mtonyaji ndichi magogoni
 
Jk Sishangai, Kama aliweza mfanyia mbaya S A Salim na mpaka leo hii ajamuomba msamaha sishangai.
 
Kwa Katiba ya sasa labda wamuue mbunge mmoja wa kuchaguliwa na wananchi ili wampeleke huyo mama wakamchakachulie kura kwenye hilo jimbo kabla ya kumpa uPM. Vinginevyo ni lazima JK na watawala wenzake ndani ya CCM wajitungie katiba yao nje ya KATIBA MAMA.
 
wadau!!
Habar za zilizopo ni kwamba moto huu unaoendelea bungeni ni mkakati wa rais wa kuhakikisha pinda anachia nafasi yake hyo ya uwazir mkuu ili mama migiro achue nafas yake.habari za ndani zinasema jk amecheza mchezo huo kwa ustadi mkubwa kuhakikisha bunge hili linampiga wazir mkuu chini ili mama huyo achukue nafs yake.Habar zilizopo ni kwamba jk aliapa na kumuhakikishia migiro lazma ampe nafs ya juu serikalin baada ya kuona nafs ya urais inazid kubana kutokana na mahasimu wake kuchangisha karata zao kumshinda migiro.habari imeendelea kuvuja nikwamba jk amemuhakikishia mama hyo kuwa atampa walau uwazir mkuu hata kwa mwaka mmoja.ikumbukwe jk ni bingwa wa kucheza dili zake kishamba,kama mnakumbuka wakat lowassa akishambuliwa bungeni jamaa alikuwa nje ya nchi anasikilizia kwa mbali,sasa hicho hicho ndo kinachojitokeza kipindi hichi wakat pinda anashambuliwa mh rais nchi za magharibi anasikilizia kinavyonuka huko bungeni,source mtonyaji ndichi magogoni

Mkuu mbona limeongelewa sana hili la migiro??? Waziri mkuu lazima awe mbunge wa kuchaguliwa.JK munamuonea kwa yasiyokuwepo.mtendeeni haki
 
mkuu wewe unaishi nchi gani? toka lini mbunge wa kuteuliwa akawa waziri mkuu
 
wadau!!
Habar za zilizopo ni kwamba moto huu unaoendelea bungeni ni mkakati wa rais wa kuhakikisha pinda anachia nafasi yake hyo ya uwazir mkuu ili mama migiro achue nafas yake.habari za ndani zinasema jk amecheza mchezo huo kwa ustadi mkubwa kuhakikisha bunge hili linampiga wazir mkuu chini ili mama huyo achukue nafs yake.Habar zilizopo ni kwamba jk aliapa na kumuhakikishia migiro lazma ampe nafs ya juu serikalin baada ya kuona nafs ya urais inazid kubana kutokana na mahasimu wake kuchangisha karata zao kumshinda migiro.habari imeendelea kuvuja nikwamba jk amemuhakikishia mama hyo kuwa atampa walau uwazir mkuu hata kwa mwaka mmoja.ikumbukwe jk ni bingwa wa kucheza dili zake kishamba,kama mnakumbuka wakat lowassa akishambuliwa bungeni jamaa alikuwa nje ya nchi anasikilizia kwa mbali,sasa hicho hicho ndo kinachojitokeza kipindi hichi wakat pinda anashambuliwa mh rais nchi za magharibi anasikilizia kinavyonuka huko bungeni,source mtonyaji ndichi magogoni

Hawa watu wa dizaini hii ndo wanaoichafua BAVICHA maana mtu anakurupuka tu na kuzua uongo usioendana na uhalisia hata kidogo... Si lazima lisemwe na BAVICHA kweli lakini kwakuwa linakinzana na mtazamo wa uhalisia linachukuliwa ni la wapinzani tu.
 
Jamani opereshen tokomeza Ujangili ilikua ni JANGA EEENH???,MTU ANALAZIMISHWA KUZINI NA MTI???MAASKARI WATATU WAMEMBAKA MWANAMKE MMOJA???,,,,,MWANAMKE ANALAZIMISHWA KUZINI NA WAKWEZE????SO SAD
 
Back
Top Bottom