Muda umefika kuuchoma moto msitu wa pande sijui watatuulia wapi?ya zombe walikataa na hii je

huu msitu inabidi ufukuliwe kabisa, huenda kuna watu waliuawa wakafukiwa humo, huwezi jua , lolote lawezekana chini ya Intelejensia.
 
Back
Top Bottom