Mubark addresses the nation thru state tv!

Ubumuntu

JF-Expert Member
Oct 21, 2010
14,316
10,782
Underfire president Mubark is now addressing the nation!

He is saying that the protests have been manipulated by political forces!

He is promising that he will not run another term as president (adhering to Obama's order!)

All in all he seems to still pretend that he doesn't know what Egyptians want. They want him to STEP DOWN!

But he is preaching on how he will serve the nation till the next general election.

He is saying 'I WILL DIE ON THE SOIL OF EGYPT! Meaning he will not run away from Egypt. 'History will judge me'

My take: huyu mzee ni kiburi na anapingana na nguvu ya umma. Namwonea huruma kwani atakufa kifo kibaya.

He thinks promises are what Egyptians want.

Source:Aljazeera Television.
 
Amegoma kuondoka hai sasa ataondoka maiti,hana haya huyu baba na huu ni mfano wa watawala wengi Africa:sick:
 
Egyptians are chanting 'LEAVE, LEAVE,LEAVE' to Mubark.

It seems they haven't bought the speech given by Mubark. Mubark wants to protect his dignity,but what is seen and said by Egyptians at the Tahrir Square seem to liken him to a dog or pig!

Get the ***k off! Leave,leave,leave! Get out,get out,get out! Are words and chants from Tahrir Square.

Egyptians have vowed to protest till Hosni steps down!
 
Amegoma kuondoka hai sasa ataondoka maiti,hana haya huyu baba na huu ni mfano wa watawala wengi Africa:sick:

True story. Naona anashindana na nguvu ya umma! Amesahau nguvu ya umma ni nguvu ya Mungu.

Viongozi wa Afrika natumaini mioyo yao inadunda na kukaribia kutoka kabisa! Hususani huyu mkwere! Akae mkao wa kuondoka kwani nguvu ya umma zaidi ya inayoonekana Misri itaunguruma TZ punde.

Egyptians are now chanting 'REVOLUTION TIL DEATH, IF MUBARK WANTS TO DIE IN THIS COUNTRY,THEN WE ARE READY TO DIE UNTIL YOU LEAVE'
 
Nashangaa hizi jeuri wanazitoa wapi watawala wetu,wanafikiri wanatawala mawe au,nimesisimkwa na ujasiri wa Mubarak
 
Nashangaa hizi jeuri wanazitoa wapi watawala wetu,wanafikiri wanatawala mawe au,nimesisimkwa na ujasiri wa Mubarak

Husisimke sana! Jifunze,kisha wewe,mimi na wale tutafakari na tuchukue hatua.

Haiwezekani tuendelee kuongozwa kikondoo kondoo ivi! Umeme gharama kubwa,unakatikakatika ovyo,vyakula bei ghali,mishahara midogo na haijatoka mpaka sasa,pengo kati ya tajiri na maskini linaongezeka,ufisadi na ubadhirifu wa mali ya umma umekithiri. Jamani waTZ mnataka mpaka tufanywe hadi tuukatae utawala huu DHALIMU!
 
Watu wanataka usepe we waleta story za uchaguzi ujao. Afrika tunachagua au twapanga mistari tu?! Jamaa inabidi asepe tu na wenzie kama yeye watiemaji nywele tu maana zamu zao zaja. Mkwere lazima kashadondoka huko saizi.
 
Ukiondoa waarabu wengi wa waafrica maneno mengi matendo 0,kila mmoja anataka kujipatia umaarufu tu lakini si kuwa wanauchungu na nchi yao na uoga uliopitiliza.
 
Kweli wahenga walisema siku ya nyani kufa matawi yote huwa yanateleza. Inaonekana jamaa waliomwandikia Mubarak spichi yake wamechemsha kinoma! Akina Salva mnajifunza hapo?
 
Ukiondoa waarabu wengi wa waafrica maneno mengi matendo 0,kila mmoja anataka kujipatia umaarufu tu lakini si kuwa wanauchungu na nchi yao na uoga uliopitiliza.
kauli kama yako nimeshaitoa hapa zaid ya mara 5,waafrika hatuwezi kupambana kijasiri kama waarabu hakika tumeubwa na uoga wahali yajuu,tutake tusitake waarabu nimajasiri na mashujaa sana,hawaogopi kufa katika kudai hakizao.
 
Kweli wahenga walisema siku ya nyani kufa matawi yote huwa yanateleza. Inaonekana jamaa waliomwandikia Mubarak spichi yake wamechemsha kinoma! Akina Salva mnajifunza hapo?

Watajifunza kweli hao? Maana akili zao zinawatuma kua yanayotokea Misri hayawezi tokea TZ. So wanaangalia ilo tukio ka sinema au tamthilia. Ila watapigwa na bumbuwazi kwa kile kitakachotokea TZ punde.

AMANDLA
 
Mubarak akiondoka madarakani leo nani atatawala? Maana hao waandamanaji hawana viongozi...wapinzani wenyewe wako shaghalabaghala ndio maana unaona maopportunist kama akina El Baradei wanataka seize the moment.
 
atumie busara tu ya kuondoka. Kwani anafikiri alizaliwa awe Rais wa maisha?? Hakujua kwamba kuna siku atatakiwa kuondoka??? VIONGOZI WALIOLEWA MADARAKA WANAMATATIZOOOOO??
 
Egyptians should stand their ground if they want to see change. If Mubarak stays on until September who knows what will happen then. Mubarak should step down and allow an interim government to be put into place until elections later this year.
 
MwanaF1 labda Mubarak trick anayotaka kucheza ni kubaki madarakani hasi pale uchaguzi mkuu utakapofanyika ili between huu muda aweze kuappoint mtu ambaye baadae atakuja kulinda maslahi yake pindi pale huyo aliyependekezwa na Mubarak atakapokuwa Rais ila all in all watawala wa Afrika sijui ni kwanini huwa ni vigumu sana kuachia madaraka as if wameambiwa kuwa hayo ndiyo maisha yao na kuwa hawana maisha mengine zaidi ya Urais
 
atumie busara tu ya kuondoka. Kwani anafikiri alizaliwa awe Rais wa maisha?? Hakujua kwamba kuna siku atatakiwa kuondoka??? VIONGOZI WALIOLEWA MADARAKA WANAMATATIZOOOOO??
Tatizo la watawala wa Kiafrika wakiishangia madarakani ni kama vile wameambiwa you will rule this country forever including you family and sons
 
Watajifunza kweli hao? Maana akili zao zinawatuma kua yanayotokea Misri hayawezi tokea TZ. So wanaangalia ilo tukio ka sinema au tamthilia. Ila watapigwa na bumbuwazi kwa kile kitakachotokea TZ punde.

AMANDLA
Nyanda sisi tunajua kupiga mdomo sana na porojo nyingi hatuna lolote lile
 
Mubarak akiondoka madarakani leo nani atatawala? Maana hao waandamanaji hawana viongozi...wapinzani wenyewe wako shaghalabaghala ndio maana unaona maopportunist kama akina El Baradei wanataka seize the moment.
Utashangaa pale atakapoondoka madarakani na mtu wa kuiongoza Misri akapatikana tatizo sio waandamaji kutokuwa na viongozi, wala wapinzania kuwa shagalabaghala kuna zaidi ya hao
 
Back
Top Bottom