MUbarak: main prioriy is peaceful transfer of power

Lokissa

JF-Expert Member
Nov 20, 2010
7,446
2,490
WanaJf kwa waliobahatika kuangalia hotuba ya Mubarak live saa sita usiku jamaa hataki kuondoka hadi september na akadai hatagombea tena na akalaani maandamano na kukumbushia kuwa kawafanyia wanamisri mambo mengi mazuri.Je hii ni janja tu ya kuendelea kubaki licha ya kuliomba bunge kuweka kipengele cha muda maalumu wa raisi kutawala.je hakujua hilo tangu mwanzo???
 
mimi nilikuwa na angalia saizi lakini nimeshindwa kumuelewa huyu mzee anatatozo gani awezi kuona huo umati hapo cairo na baadhi ya miji, kwa nini huyu mzee awaeleze bunge kuweka hicho kipengele kwani kuna tatizo gani yeye akitoka kweye hicho kiti kwani kuna nini ataki kutoja ikulu? Uenda huyu mtu anataka kuficha uozo wake ndipo atoke lakini ushauri wangu wana misri waendelee na msimamo wao yeye siyo kitu kwenye taifa la misri na pia watu awawezi kuishi chhini ya 2usd alafu ushindwe kutoka madarakani wakati awakutaki,
 
Back
Top Bottom