Mubarack: He is not stepping down

22nd

JF-Expert Member
Aug 1, 2010
495
137
siamini ninayoyaona, huyu jamaa kichwa ngumu kweli kama rostam aziz vile, let see what is going to happen:sad:
 
Madaraka matamu bwana, ila wakiendelea kidogo ataondoka tu maana wamembana ipasavyo hana ujanja! Anajaribu kuwapima kama watarudi nyuma au laa
 
Dah nilirusha remote nilikaribia kuirukia TV, thanks remote ilipunguza ile suden flow ya ardenaline, any way ninachojaribu kuangalia kwa makini hapa ni kuona jinsi Jeshi letu la Tanzania linavyoweza kujifunza kutoka yanayotokea Misri, namaanisha Jeshi la wananchi sio vilaza polisi maana, ningekuwa nan ndoto ya kuwa raisi, ningefukuza wote tu... na kuanza upya
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom