Mtume na nabii achezea kichapo Afrika Kusini kutoka kwa waumini wake

Mshana Jr

Platinum Member
Aug 19, 2012
269,638
697,929
Mtume apigwa na kufungwa kamba Afrika Kusini.

Mtume na mmiliki wa End Times Disciples Ministries apigwa baada ya kuwaamuru waumini wake kula nguo zao za ndani.

Kwa bahati mbaya vijana waliokuwepo ibadani walimvamia, wakamfunga kamba na kubomoa kanisa lake.

Baadhi ya waumini wa Kanisa waliokuwa upande wa nabii pia walipigwa na kufungwa pia, lakini maafisa wa polisi walikuja kuwaokoa kabla hali haijawa mbaya zaidi

1703186715641.jpeg

===

Published on November 17, 2015

We’ve talked about South African preacher Penuel Mnguni, 24 of End Times Disciples Ministries several times. He commanded his congregation to eat snakes here, to eqt their underwear here. You can see hisi church activities on their official Facebook page.

He’s not to be confused with another SA Pastor, Lesego Daniel, who has fed his congregation grass and told them to drink petrol, saying it tastes like pineapple juice.

Villagers, led by a South African youth vigilante group, the Economic Freedom Fighters, burnt Penuel’s church at Soshanguve in Tshwane on Sunday November 15, 2015. He had been in hiding recently, as community members denounced what he was doing, calling it an ‘abomination’.

Church members were also beaten and tied up, but police officers came to their rescue.

Bella Naija
 
Back
Top Bottom