Mtuhumiwa wa ulipuaji mabomu Arusha auawa na Polisi akijaribu kutoroka

Polisi wana hasira sana na waislam hata polisi akiwa muislam hawajali waislamu wenzie.
 
Umeangalia Prisson Break? Kama bado tafuta movie inaitwa The A-Team uiangalie alafu uje kusoma tena hiki ulichoandika...!
Jamaa yangu mambo ya kwenye A-TEAM achana nayo kabisa yale ni mawazo ya mtu alikaa na kuamua kutoka na hicho kitu lkn cyo real, halafu movie ya A-TEAM ilikuwa ni mission ya watu wengi na cyo mmoja.Kama wewe ni police basi kwa mawazo yako hayo hukustahili kuwa hata mgambo.ITAKUWAJE mtuhumiwa atake kutoroka wakati huohuo amefungwa pingu na yuko chini ya ulinzi wa polisi???, Hivi mtuhumiwa wa ugaidi kama ule, polisi wanaweza kum guide kama house girl anapompeleka mtoto wa chekechea shuleni????.
Ndugu yangu jitahidi uilazimishe akiri yako i behave kama GREAT THINKER na cyo huu upuuzi unaoupost hapa.Unaweza kuniambia kuwa ni njia gani zingine walizotumia police kumdhibiti huyo mtuhumiwa zikashindikana ndo wakaamua kumcharaza risasi, na wakati huo huyo mtuhumiwa alikuwa na siraha gani aliyoitumia kupambana na police?????????????????????????????????????????????????????????.
 
Kama ni mtuhumiwa fake, basi tupe original unaye mjua ...ahapa polisi wasinge mkamata huyu mtuhumiwa ungekuja na mada kuwa polisi wa zembe hawafanyi kazi zao, kazi kupiga picha za mahaba,wamemkamata unasema fake. Achana na story za vijiweni.
You know nothing about this ----in scandal, its better you keep cool.
 
Kwa sababu wameshamhoji watuambie sasa alifanya hayo yote kwa maagizo ya nani? Na ili iweje? Na kwa nini Arusha?

kwenye issue ya arusha mtu wa kwanza anaetakiwa kuhoji ni MWIGULU NCHEMBA yeye ndio alisema watu washudhurie mikutano ya mwisho ya CDM inaonyesha alijua kitakachotokea sasa ni yeye kwanza atoe maelezo, haya ndio yanasababisha ccm hawataki kuondoka madarakani kwani ni lazima watashtakiwa kwa haya.
 
Jamaa yangu mambo ya kwenye A-TEAM achana nayo kabisa yale ni mawazo ya mtu alikaa na kuamua kutoka na hicho kitu lkn cyo real, halafu movie ya A-TEAM ilikuwa ni mission ya watu wengi na cyo mmoja.Kama wewe ni police basi kwa mawazo yako hayo hukustahili kuwa hata mgambo.ITAKUWAJE mtuhumiwa atake kutoroka wakati huohuo amefungwa pingu na yuko chini ya ulinzi wa polisi???, Hivi mtuhumiwa wa ugaidi kama ule, polisi wanaweza kum guide kama house girl anapompeleka mtoto wa chekechea shuleni????.
Ndugu yangu jitahidi uilazimishe akiri yako i behave kama GREAT THINKER na cyo huu upuuzi unaoupost hapa.Unaweza kuniambia kuwa ni njia gani zingine walizotumia police kumdhibiti huyo mtuhumiwa zikashindikana ndo wakaamua kumcharaza risasi, na wakati huo huyo mtuhumiwa alikuwa na siraha gani aliyoitumia kupambana na police?????????????????????????????????????????????????????????.

We unaandika kishabiki tu hapa,,ivi unadhan kinachotokea kwenye movie ni maigizo ya ulimwengu mwingine tofauti na huu tunaoishi? Watu wanatoroka kwenye magereza yenye maximum security itakuwa ishu ya kuwatoroka askari kadhaa...!! Magaidi ni well trained individuals siyo kama wezi wa kuku,,hujawahi sikia mtu katoroka kituo cha polisi au akiwa chini ya ulinzi wa polisi!? Acha kujivika uwendawazimu kama mtu alikuwa na uwezo wakutega mabom na kurusha mabom bila kuonekana we unamchukulia kirahis tu? Shirikisha akili yako acha ushabiki,,polis hawawez kuja hapa bakukuambia kila steji jinsi mtuhumiwa alivyokuwa anataka kutoroka...!
 
Huyo mbowe wenu hana dvd wa nini hizo kampeni za kisiasa nyinyi watumwa wa akili kama kweli ipo kwanini asiionyeshe mpenda sifa yule muongo hana dvd hana nini hiyo ni siasa ya kutala umaarufu tu wake up
 
daaah Amnesty international wako wapi jamani?

hawa mijitu c ya kuyapuuzia kama angechoropoka angeenda kujipanga na kulipuwa watu wengine wasio na hatia ..we unauliza haki za binadamu ngoja wakutende wewe ndo utatia akili nyani wewe.
 
Sasa jana jambazi sugu,na mhusika wa milipuko ya mabomu amefanikiwa kuruka na kukimia na kuwaacha polisi wakatumia risasi kumuua! Maana mjalifu hawezi kubebwa bika pingu labda kama hatari kwa wananchi!
 
inavosemekana jamaaa ni mruka juu hzo round kick van dame anasubir inavosemekana alianzisha purukushan ili atoroke wakaamua kumuwahi. japokuwa haiingiii akilin mtuhumiwa wa ugaid asafirishwe kama kibaka wakawaida yawezekana ulikuwa mpango wakumfuta tuu maaana hawa jomba zetu hawakawiag kukulaza chin ukishawachoshaa
 
Polisi wana hasira sana na waislam hata polisi akiwa muislam hawajali waislamu wenzie.

Hivi ukiwa muislamu ndo uachiwe uwe unafanya mauaji kwa watu wasiokuwa na hatia,halafu usimtete muhalifu kwa sababu tu ni muislamu,uliza Boko haram wanafanya nini Nigeria,halafu uliza je wale wanaouwawa ni wakristo tu au wengine wanauawa
 
Nchi hii wanasema inatawaliwa kwa mujibu wa sheria wangempeleka mbele ya sheria,polisi wanajikosha tuu,mbona wanaoua alibino hawauwawi.
 
Haya maneno ungemueleza Mbowe aliyekalia ushahidi wa walipuaji wakati kuna watanzania wenzetu walikufa bila hatia. Na vyombo husika vinahangaika kuwapata wahusika wakati Mbowe ana ushahidi na amekaa kimya.

Chagonja amekaa Arusha zaidi ya Mwezi ni majibu gani aliyoyatoa juu ya alichokuwa akichunguza?
 
Mkuu.

Nilihitaji Cheo cha huyo polisi mthibitishaji eg Kamanda wa polisi mkoa/wilaya maana ndo utaratibu wa taarifa za kipolisi.

Anyways siyo kesi mkuu nimeshapata from another source.

Ukishapata cheo chake.
 
Mkuu yawezekana haufahamu, mtuhumiwa anaposafirishwa kwenye chombo chochote cha usafiri haruhusiwi kufungwa pingu, ukiona kafungwa atakuwa hajui haki zake.

Kingine yule jamaa ni sempai hivyo akicharuka bila kutumia moto angewaumbua watu..nguvu iliyotumika ni haki yake.
 
Sasa jana jambazi sugu,na mhusika wa milipuko ya mabomu amefanikiwa kuruka na kukimia na kuwaacha polisi wakatumia risasi kumuua! Maana mjalifu hawezi kubebwa bika pingu labda kama hatari kwa wananchi!

Kajifunze kuandika wewe.
 
huyu bwana YAHYA HASSANI ameuawa leo wakati polisi wakimpeleka KONDOA nyumbani kwao akawakabidhi bomu 1 alilokuwa amelificha huko kwao, polisi wanadai kuwa amekiri kuhusika na milipuko yote nchini na pia kuwamwagia viongozi wa DINI tindikali, pia ni yeye aliyelipua mkutano wa chadema soweto

Tatizo ni ngumu sana kuamini maneno ya upande mmoja. Kwa kuwa mtuhumiwa amefariki bila kufikishwa mahakamani then polisi wanaweza sema chochote. Huwezi labda jamaa hakuwa na hatia.
 
Tatizo ni ngumu sana kuamini maneno ya upande mmoja. Kwa kuwa mtuhumiwa amefariki bila kufikishwa mahakamani then polisi wanaweza sema chochote. Huwezi labda jamaa hakuwa na hatia.

Hivi mtu mwenye pingu anatorokaje chini y ulinzi mkali walipanga kumuua 2 hamna jingine,hii picha yupo n pingu jiulize nawe
 
Polic wanajenga uhasama na raia kwa kufanya mauaji kwa kijana asiyekua na hatia,ipo cku tutalipa kisasi,pumzika kwa amani yahya(sensee)
 
Back
Top Bottom