Mtu mweusi alitoka wapi?

Jibu:

Apes... Sokwe...!! Huoni kuna mzee mmoja Warasi almost ni sokwe yuko under evolution bado..!!
 
nadhani mwanadamu alianza kusambaratika pale mnara wa babel ulivyosambaratika.......watu walitawanyika kila mahali na kuongea lugha mbalimbali.....kwa maana hiyo kila sehemu walipokwenda ndivyo walivyozidi kubadilika kutokana na hali ya hewa...ila sina uhakika original alikuwa ni nani......kuhusu kuzaliana ni kweli walizaliana wao kwa wao kutokana na kuwa walikuwa wapo wenyewe na uzazi ulikuwa lazima ufanyike....kadri watu walivyoongezeka ndivyo wigo ulivyozidi kupanuka na sio kweli kuwa waliokuwa wanazaliwa walikuwa wanaume tu...hapana.....wanawake walikuwepo mfano kina sara, rebecca, esta, n.k, ila wanaume ndio waliokuwa wanahesabiwa kama kizazi kamili....nafikiri nimejaribu kukuelewesha

kwann hawabadiliki sasa
 
naomba kueleweshwa kwa mwenye ufahamu na hili ni katika kueleweshana
Naomba lisiwe na chembe za udini japo source yake imetoka kwenye bible bible hivi..
Nikiwa nimekulia na kulelewa katika mazingira ya dini ya kikiristo tulikuwa tukionyeswa vitabu
Na vitabu amabayo tulikuwa tunafundishiwa ni vile vyenye picha za adam na hawa na wengine wote ambao inaonyesha kwamba

Walikuwa ni watu weupe ambao niliamini niwazungu. Sasa najiuliza kama original ya adam na hawa walikuwa ni wazungu na ndio tunaaminishwa kwamba walikuwa ni wanadamu wa kwanza
Kabisa kuishi duniani je mie mtu mweusi nilitoka wapi? Maana siamini mzungu na mzungu wanaweza kuzaa mtu full black kabisa.

Kingine kinachonichanganya je zamani waliruhusiwa kaka na dada kuoana? Maana kama adamu na hawa ndo wakwanza it means waliozaliwa ni watoto je walijijenerate namna gani
Na isitoshe waliozaliwa tunaambiwa walikuwa wa jinsia moja wanaume tupu sasa hapo ndo sielewi kabisa msaada jamani!!!
Una uhakika walikuwa wazungu?
 
ngoja nikwambie ndugu ila tu tuingie kwenye imani kidogo.Ni kweli kabisa kuwa Adamu na Hawa walikuwa weupe, ila suala la watu weusi kutokea ni kama ifuatavyo, baada ya kuumbwa adamu Mungu alimtengeneza mwenzake kupitia Ubavu wake wa kushoto kipindi hicho wapo peponi huko, sasa baada ya kufanya ile dhambi Mungu ndo hakawaambia kuwa nawashusha duniani ila kila mmoja nimshusha mahali pake(sikumbiki Adamu alishushwa wapi na hawa alishushwa wapi) ila walishushwa nchi tofauti na wakaambiwa kwakuwa mmetenda zambi hivyo nawashusha ardhini na mtatafutana hadi siku mtakayoonana, basi wakashushwa huku dunian wakiwa peke yao but in diffent places,wakatafutana mpaka siku wapoonana hapo hapo Mungu akamtuma malaika kwao na kuwaambia kuanzia leo mmeharalishwa kuwa mtu na mkewe ila Hawa Utazaaa kwa uchungu na Adamu utatafuta kwa Jasho,(hiki ndo kisa mpaka leo ukitaka kupata mke lazima uangaike) basi baada ya hapo Hawa akapata ujauzito lakini mimba zake alikuwa anazaa mapacha kila mimba (kwa uzezo wa Mungu) alizaa mapacha kalibia 30 lakini kila pacha alikuwa mwanamke na mwanaume ila walikuwa Rangi Tofauti Tofauti(mweupe, mweusi,mwekundu, n.k) baada ya hapo Mungu aliwaamlisha adamu na hawa kuwa kila kizazi chenu lazima waoane But ni marufuku pacha kumuoa pacha mwenzie na ni ruhusa kwa pacha mmoja kumuoa dada au kaka wa pacha mwingine(sijui unanipata mtu wangu) sasa issue inakujaje kuna Pacha mmoja dada yake alikuwa mzuuri vibaya mno akaleta mgogoro kuwa haiwezekani dada yangu aolelewe na mtu mwingine nataka nimuoe mwenyewe kutoka na dada wa mwenzie kuwa mbaya ndo ibilisi akaja na kumwambia ukitaka ufanikiwe na umoe dada yako lazima umuue yule jamaaa (hapo ndo kikaumbwa kifo)jamaa akamuua ndugu yake baada ya kumuua hakujua nini cha kufanya ndo pembeni akaona njiwa wanapigana baada ya muda njiwa m1 akafa yule njiwa mwinginne akafuka kashimo akamfukia mwenzie ndo jamaa alivyoona hivyo nae akamchukua mwenzie akamfukia ndo kisa ahadi leo Tunawafukia wenzetiu KWA HIYO NI KWELI KUWA WALIKUWA WANAOANA NDUGU ILA KWAKWA NJIA WALIYORUHUSIWA NA MWENEYEZI MUNGU. NA KATIKA VIZAZI HIVYO NDANI YAKE KULIKUWA NA PACHA AMBAYE ALIKUWA MWEUSI n.K,, NDO MAANA HADI LEO HII KIZAZI CHEUSI KINAENDELEA MTU WANGU.

nimekupata mtu wangu wa nguvu!
 
Weupe wa Adam na Eve ulitokea wapi??
Kwani hukusoma history ukapata kufahamu fuvu la mtu wa lake zaidi lilipatikana wapi??
 
ndugu hii simulizi yako ni ya kujitungia waziwazi kabisa. asante kwa kushiriki
 
Historia ya awali ya kutafuta wapi binadamu wa kwanza alipoishi ipo hivi, wana archiolojia wa miaka hiyo walikuwa wakihangaika kutafuta mtu wa kwanza huko maeneo ya mashariki ya kati, ulaya na asia. nguvu nyingi zikiwa zimeelekezwa asia ambapo walipata mafuvu kadhaa ya zamani walikua hawadhani wala kufikiria kua mtu wa kwanza anaweza tokea afrika ila ni Dkt. Leakey alijaribu kutafuta afrika na fuvu alilokutana nalo lilikua lina pishana kwa zaidi ya miaka millioni na lile lililopatikana asia. hii iliwafungua vichwa wakaanza kuchimba afrika mpaka sasa mafuvu ya afrika ndo mafuvu mazee kuliko sehemu nyingine yoyote duniani.

Waafrika(weusi) tuna akili nyingi sana sema tu hatujisomei. ukisoma vitabu vya dini binadamu wa kwanza MWEUPE ukisoma sayansi binadamu wa kwanza MWEUSI hii ndo sababu kubwa na ya kipekee nayoipendea sayansi kuliko dini. science ndo sehemu pekee wazungu hawawezi kui twist.VIVA science VIVA
 
naomba kueleweshwa kwa mwenye ufahamu na hili ni katika kueleweshana
Naomba lisiwe na chembe za udini japo source yake imetoka kwenye bible bible hivi..
Nikiwa nimekulia na kulelewa katika mazingira ya dini ya kikiristo tulikuwa tukionyeswa vitabu
Na vitabu amabayo tulikuwa tunafundishiwa ni vile vyenye picha za adam na hawa na wengine wote ambao inaonyesha kwamba

Walikuwa ni watu weupe ambao niliamini niwazungu. Sasa najiuliza kama original ya adam na hawa walikuwa ni wazungu na ndio tunaaminishwa kwamba walikuwa ni wanadamu wa kwanza
Kabisa kuishi duniani je mie mtu mweusi nilitoka wapi? Maana siamini mzungu na mzungu wanaweza kuzaa mtu full black kabisa.

Kingine kinachonichanganya je zamani waliruhusiwa kaka na dada kuoana? Maana kama adamu na hawa ndo wakwanza it means waliozaliwa ni watoto je walijijenerate namna gani
Na isitoshe waliozaliwa tunaambiwa walikuwa wa jinsia moja wanaume tupu sasa hapo ndo sielewi kabisa msaada jamani!!!
Cha kushangaza unatafuta hasili yako kwenye ko za wengine ukiwa na shaka na weusi hanza mkorogo.
 
kama mwenyezi Mungu aliweza kumuumba Adam from no where,then its no suprise kuweza kutoa watu weusi ,wazungu,wahindi,wachina etc from watu haohao aliowaumba.trying to search mtu wa kwanza alikuwa mweusi au mweupe haitosaidia kitu sababu kwanza hilo jibu hautolipata kwa sababu kwa sababu hakuna fact ambayo inasema mtu wa kwanza alikuwa ni race gani zaidi ya postulates tu .kama wazungu walitumia ujanja wao kumtawala mwafrica haimaanishi na wewe utafute njia to satisfy ur own ego.wat if the first person was dark skined?who cares?
Tafiti zinaonesha asili ya mwanadamu ni Africa.
 
Pole sana kama bado unaamini uongo wa juzijuzi tu, Dunia imekuwepo zaidi ya miaka milioni 10, hivyo vitabu vyako historia yake ni ya miaka 2000 tu, na huo uongo ulikuwa unafanyakazi enzi hizo kabla ya utandawazi na sayasi haijawa ya hali ya juu.MOTO tu huu tunaopikia uligundulika kati ya mwaka laki 3 na laki 5, hapo ni kabla yesu hajazaliwa. Binadamu wa kwanza aliishi africa na alikuwa mweusi, ulaya na kwingineko walihamia tu na wakiwa weusi ila walibadirika taratibu kulingana na mazingira ya huko.
 
Ukitafuta historia ya mtu mweusi kwennye bibilia tayari unakuwa umeshafeli.
 
Kama Adam ni kitu cheusi na Koran inasema hivyo hao weupe walitoka wapi? Au unataka tukatae utawala wa wazungu tufuate wa Waarabu? Na kama Bible inadanganya basi Koran ndio funga kazi kwa uongo!

Halafu jaribu kuja na facts na sio ujanja ujanja wa oooh sijiu Koran nini lete vitu detailed ili kama tutakubaliana na wewe tufuate huo Uislam . Siyo una-generelalize tu Biblia inadanganya.
Sasa Ukiangalia imani zote utaona, chanzo cha Uzao wote, unanzia asia, sasa mzungu azaliwe asia na sio mwarabu.

Hapa wazungu wamejipendelea tu, kuna kauwongo hapa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huwezi kupata ukweli isipokuwa kutoka kwenye Biblia na true science combined.Kukataa ukweli huu ni kwamba you prefer lies.Link ninayokupa itakupa ukweli wa biblia and true science.
Nenda www.bible-truth.org/race.htm. Kuwa mwangalifu na ushauri unaopata kutoka JF hasa kwa mambo kama haya some people in JF ni Freemasons,wanapindisha ukweli ili kumtukuza mungu wao.ambaye ni shetani.It's only the bible and true science which can give you the truth.Ninasema true science makusudi kwasababu kuna ujinga kama evolution ambao uliletwa makusudi ili ku-downgrade kazi ya Mungu ya umbaji.
Sasa kama ukweli upo kwenye Bibilia, jibu hili swali, Yesu, wote waliotajwa kwenye kitabu hicho wote, wamezaliwa Mashariki ya kati na maisha yao kuishia huko, mashariki ya kati ni uzao wa waarabu.
Iweje mtu wa kwanza aliezaliwa asia awe mzungu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
nadhani mwanadamu alianza kusambaratika pale mnara wa babel ulivyosambaratika.......watu walitawanyika kila mahali na kuongea lugha mbalimbali.....kwa maana hiyo kila sehemu walipokwenda ndivyo walivyozidi kubadilika kutokana na hali ya hewa...ila sina uhakika original alikuwa ni nani......kuhusu kuzaliana ni kweli walizaliana wao kwa wao kutokana na kuwa walikuwa wapo wenyewe na uzazi ulikuwa lazima ufanyike....kadri watu walivyoongezeka ndivyo wigo ulivyozidi kupanuka na sio kweli kuwa waliokuwa wanazaliwa walikuwa wanaume tu...hapana.....wanawake walikuwepo mfano kina sara, rebecca, esta, n.k, ila wanaume ndio waliokuwa wanahesabiwa kama kizazi kamili....nafikiri nimejaribu kukuelewesha
Apo auja jibu chochote ukisema rangi ili anza kubadirika sasa kama original alikuwa mzungu mbona kuna watu weusi ambao wanazaliwa ulaya awa geuki rangi kuwa watu weupe? Kama nyingi ina badirika kulingana na hali alisi ewa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom