Mtu aliyewasumbua majasusi wa Mossad kwa miaka zaidi ya 20 kufanikiwa kumuua

Nifah, nyinyi mumeumbwa kwasababu yetu. Ukiona hadi idara ya usalama imeamua kutumia mwanamke basi jua huyo mtu alishindikana kpatikana kwa njia nyingine. Hata mke anaweza kushilikishwa katika kusaidia mumewe akamatwe ila itategemea huyo mwanmke ana upendo wa kiasi gani na je anayachukuliaje hayo anayoyafanya mumewe.

Kweli kabisa kama huyo jamaa Imad Munghniyah alikua mtata sana hata yule aliyemuua mdogo wake pia.Lakini ajabu ni kua Imad alifanikiwa kumkamata adui yake kwa kutumia trick ya wanawake na pombe naye kauawa kwa trick hiyohiyo!

Hapo kwa mke kushirikishwa katika kusaidia mumewe akamatwe ni mwanamke mpumbavu peke yake anayeweza kufanya hivyo.
 
Wanawake wengi hua hawajui waume zao kama ni magaidi ila wanapokuja kushilikishwa kwa kuoneshwa matukio ya kigaidi ambayo waume zao waliyoshiriki huwa tayari kuvunja mahusiano kwa usalama wa familia yake ( watoto na yeye pia) hapo baadae na kushilikiana na idara za usalama kwakufanikisha kukamatwa kwao.
 
Kuna kitu nimewaza hapa.Mume akishakua gaidi basi ni mwanzo wa familia nzima kuteketea kwa sababu karibu ya magaidi wengi waliouawa basi huuawa pamoja na nasaba zake kama ndugu na watoto.
Nimejaribu kujenga picha ya mimi ndio mke wa gaidi halafu nilikua sijui siku nikijua sijui itakuaje! Huu ni mtihani!
Ila ninachokijua mimi wengi wa wake wa magaidi hua wanajua kua waume zao ni magaidi, wachache sana ndio hawajui.Sasa hiyo sababu ya kuvunja mahusiano kisa mume ni gaidi sidhani kama itawezekana kwa hawa wanaojua!
 
Muhimu kwangu ni neno Wanawake. Wote wameuawa kwa kufuata wanawake kiasi cha kusahau ulinzi na masilaha ya watu wanao wawakilisha. Alafu mnadai ati sisi wangoni tunapenda sana kale kamchezo........
 
Muhimu kwangu ni neno Wanawake. Wote wameuawa kwa kufuata wanawake kiasi cha kusahau ulinzi na masilaha ya watu wanao wawakilisha. Alafu mnadai ati sisi wangoni tunapenda sana kale kamchezo........

Umeona wakunyumba, hii kitu ni universalhuwezi kusema wakina fulsni wanapenda zaidi. Approach ndio itakuwa tofauti
 
Mkuu mngony nitashukuru sana ukifanya namna nikapata copy ya kitabu cha "Every spy a prince"
 
Last edited by a moderator:
Nimejifunza mengi kupitia hii simulizi.

Ila nimengundua ni wachache watakaosalimika na dhambi ya Uzinzi, sio gaidi, Askofu au Sheikh.

Nimengundua hata hao wanaopigania imani zao bado starehe yao kubwa ni ngono.!
 
Uko vizuri. Mkuu tuandalie ile ya msako Wa mossad dhidi ya waliohusika na mauaji ya waisrael kule kwenye olimpic ujermani. Ni balaa
 
shujaa imad aliuawa na milipuko iliyokua imewekwa katika spair tyle ya gari yake.
ina maana walitegea amepaki gari,wakareplace spair taili na yenye milipuko.
wakagonja amerudi garini na kulipua kwa remote control.

pia hezbollah haikuwepo miaka ya 70.
ni kikundi cha kijeshi kiliundwa kupambana na uvamizi wa israel katika nchi ya lebanon miaka ya 80
 
Uko vizuri. Mkuu tuandalie ile ya msako Wa mossad dhidi ya waliohusika na mauaji ya waisrael kule kwenye olimpic ujermani. Ni balaa

Nyingine inaitwa

Kill him silently (episode one na Two) ya Aljazeera hii ni shida

nyingine inaitwa What killed Arafat

Nyingine AGENTS OF ISRAEL

utajua Mossad wanavyohusika na matukio mazito middel east ili waendelee kuexist
 
shujaa imad aliuawa na milipuko iliyokua imewekwa katika spair tyle ya gari yake.
ina maana walitegea amepaki gari,wakareplace spair taili na yenye milipuko.
wakagonja amerudi garini na kulipua kwa remote control.

pia hezbollah haikuwepo miaka ya 70.
ni kikundi cha kijeshi kiliundwa kupambana na uvamizi wa israel katika nchi ya lebanon miaka ya 80

Ulishawahi kutazama Documentary inaitwa KILL HIM SILENTLY

inahusu failed assasination attemp ya khalid mashal kule jordan 1997 ni tabu sana hiyo mission ilivyopangwa na netanyahu
 
Back
Top Bottom