King Kong III
JF-Expert Member
- Oct 15, 2010
- 51,670
- 68,630
Kuna mtu akutwa amejinyonga hapa mzinga darajani kongowe,sasa haijulikani kama amenyongwa au amejinyonga.
Siku hizi siyo mabwepande tena? RIP to yeye
ukiona hivyo kule kwetu ni laana kubwa ila kisasa kwa tz ni njaa kali ndio inasumbua watu RIP mnyongwa