mtu akiwa mgumu kukutambulisha

jane_000

JF-Expert Member
Feb 9, 2012
547
43
wana jf kunawatu wengi wanakuwa wagumu kweli kusema huyu ni mke wangu au nimume wangu wanasema jamaa yangu anawivu au jamaa yangu hayupo home tuonane jion wanashindwa kutoa utambulisho
 
Unapoanzisha thread au kupost topic jaribu kuandika kama msomi. Elezea vizuri ili hata mtu ambaye hana elimu ya kutosha aweze kuelewa unamaanisha nini.
Pia nakushauri uwe unaanzisha thread zenye maana na mantiki maana nimeona thread zako nyingi hazina maana wala mantiki yoyote. Angalia usije ukajikuta unajifedhehesha na kujizalilisha kutokana na thread na post zako badala ya kufurahisha na kuelimisha na kuelimisha jamii. Kama nitakuwa nimekuudhi kwa haya niliyoyasema naomba uniwie radhi
 
Well said
 
Dah kaka bora umesema maana huyu jamaa kwanza hana ubongo wa mbele so huwa anakuja km mzigo....anajaza jamvi na thread za pumba tu....
 
@ Young_Master, umesema vema kama ana masikio ya kusikia atakuwa kakusikia!
 
Hiyu jane000 ana Id nyingine ila tunamstahi tu na ni mwanaume kabsaa ila hana aibu
Tobaaaaaaaaa!.. Are you serious??? Atakuwa mtoto sio ri......zi.....ki au??? Mbona huwa anajifanya wakike??? Kweli dunia ina mambo...lol
 
Ndio hivyo...na hapa akiona tunamzonga na maneno ndo haji tena hadi badaee jukwaa jingine
 
Back
Top Bottom