Mtoto wa Osama Bin Laden

Ndallo

JF-Expert Member
Oct 1, 2010
7,619
4,292
Wakati dunia ikiwa na shauku ya kujua kama kweli Osama kauwawa mtoto wake na Osama Bin Laden yeye anajirusha na kimada wake kwenye nchi za magharibi.
bin_ladens.jpg


Osama-bin-Laden-son-omar-bin-Laden.jpg

omar_1864136c.jpg

mn_bin_laden_son_2.jpg

omar-osama-bin-laden-718958.jpg

article-1083366-0024964800000578-277_468x644.jpg
 
Jamani mtoto wa Osama ana kosa gani? Huyu mbona alishatangazia ulimwengu kuwa hapendi itu ananyofanya baba yake!!! Ndiyo maana yuko uingereza anaishi bila shida ma mke wake muingereza. Au ni mwingine?
Wakati dunia ikiwa na shauku ya kujua kama kweli Osama kauwawa mtoto wake na Osama Bin Laden yeye anajirusha na kimada wake kwenye nchi za magharibi.
bin_ladens.jpg


Osama-bin-Laden-son-omar-bin-Laden.jpg

omar_1864136c.jpg

mn_bin_laden_son_2.jpg

omar-osama-bin-laden-718958.jpg

article-1083366-0024964800000578-277_468x644.jpg
 
kumbe ile ya mtoto wa nyoka ni nyoka hiwork out kwa wenzetu.......... ila bongo kwetu inafanya kazi. mfano jk na riz1,kimjinimjini.
 
damu nzito kuliko maji,ila ameona babake anafanya upuuzi akampotezea nampongeza sana,
si kama watoto wa mjini wanavyoshirikiana na baba zao kwenye ufisadi
 
imekaa vzuri ukizingati babaa kauliwa na makomandoo na wamemzikia baharini
 
Picha za zamani sana hizi, karibu miaka mitatu iliyopita, tafuta source @ google utapata information.
 
Back
Top Bottom