Mtoto wa miezi minne atupwa akiwa hai maeneo ya Bamaga Mwenge...!!

Herbalist Dr MziziMkavu

JF-Expert Member
Feb 3, 2009
42,351
33,187
1.jpg

Huyu ndiye malaika wa Mungu aliyetelekezwa maeneo ya bamaga nje ya chuo cha ustawi wa jamii karibu na TBC hapa akiwa amebebwa na mmoja wa mfanyakazi wa ITV baada ya wasamaria wema kumleta ITV...

Anayeonekana kwa nyuma ni mmoja wa vijana waliomuokota mtoto huyo

IMG_1565.JPG

IMG_1570.JPG

IMG_1571.JPG

IMG_1572.JPG

IMG_1573.JPG

IMG_1574.JPG

Baadhi ya wafanyakazi wa ITV wakimshangaa mtoto aliyetupwa.
IMG_1575.JPG

mchomeblog

MTOTO WA MIEZI MINNE ATUPWA AKIWA HAI MAENEO YA BAMAGA MWENGE...!! - GUMZO LA JIJI
 
Duh!mtoto mzuri kabisa na mwenye afya njema,kweli dunia imekwisha!
 
duh mtoto mzuri sana wengine tunatamani watoto wengine wanawatupa sijui ni shida gani iliyompata mwanamke mwenzetu mpaka akamtelekeza huyo mtoto mzuri
 
mungu ampe afya njema malaika wake huyo pia awasamehe wazazi wake popote walipo.
 
duh mtoto mzuri sana wengine tunatamani watoto wengine wanawatupa sijui ni shida gani iliyompata mwanamke mwenzetu mpaka akamtelekeza huyo mtoto mzuri
Inahuzunisha sana, kwanini wa-do bila condom? kwanini wasijiunge na kinga za kuzuia mimba? Mungu amlaani huyo mama
 
yawezekana mtoto alipatikana hapohapo barabarani.............. ni vema jamii ikajitahidi kupinga shughuli za kingono zinazoendekezwa barabarani nyakati za usiku ili kuepuka mateso kwa watoto wanaozaliwa bila kutarajiwa
 
Hapo ndipo ninapomshangaa mungu wetu kuwapa watoto wale ambao hawawataki wao wanapenda sex tu lakini matokeo ya sex hawayataki na kuwanyima wale wanaotenda tendo la ndoa kwa ajili ya starehe na pia wakitegemea mungu awabariki kupitia tendo hilo . HATABAKI kuwa MUNGU TU siku zote na anazibitisha kuwa yeye ni wa wote wenye mwili.

pia napenda niwapongeze sana hao wazazi waliotupa huyo mtoto kwa hekima ambayo wamejaliwa kumuacha akiwa hai ili wasamalia wema wamuokote. hivi ukitaka ukabidhiwe huyo mtoto unafanyaje jamani mtoto mzuri sana
 
Inasikitisha ila kikubwa hakumdhuru kwa hili amefanya vizuri maana wengine wanawaua au kuwatupa chooni
 
Kwahiyo angekuwa na sura kama ya mzee wa "wapigeni" angestahili kutupwa?
Sikuwa na maana hiyo mkuu,nilikuwa nasisitiza kuwa afya yake ni nzuri,pia viungo vyake vya mwili havina hitilafu.Kumbuka mkuu, kuna baadhi ya makabila uwatupa watoto walemavu,kama na huyu angekuwa mlemavu ningeanza kufikiria uenda hiyo ikawa ndiyo sababu kufanya hivyo!
 
Jamani binadamu tumeumbwa kusahau yaan kashasahau kabisa taabu Za ujauzito na hata uchungu wa leba, Lakini tusijaji sana coz hatujii nini kipo nyuma ya pazia uenda mama yake kaenda kujiua na maswaibu yalomkuta hatujui
 
Mungu amsamehe alohusika kumtupa huyo mtoto,,....na Mungu amjalie afya njema katoto kazuri
 
Sikuwa na maana hiyo mkuu,nilikuwa nasisitiza kuwa afya yake ni nzuri,pia viungo vyake vya mwili havina hitilafu.Kumbuka mkuu, kuna baadhi ya makabila uwatupa watoto walemavu,kama na huyu angekuwa mlemavu ningeanza kufikiria uenda hiyo ikawa ndiyo sababu kufanya hivyo!

Kwa mustakabali huu tuwapigie makofi mama zao mzee wa "wapigeni" na wa "CDM lazima ife kabla ya 2015". Kama wasingekuwa mama bora na wavumilivu, CCM ingekosa makada wawili muhimu sana hivi sasa.
 
Kwa mustakabali huu tuwapigie makofi mama zao mzee wa "wapigeni" na wa "CDM lazima ife kabla ya 2015". Kama wasingekuwa mama bora na wavumilivu, CCM ingekosa makada wawili muhimu sana hivi sasa.
Upo sahihi mkuu,maana jamaa wanafanana na kima kabisa!
 
Back
Top Bottom