Pantomath
JF-Expert Member
- Jan 4, 2019
- 789
- 3,230
Naomba kujuzwa hili, nijuavyo kuna watoto wakiwa na miezi 7 huanza kutambaa kwa shida.
Huyu ninayemzungumzia anatimiza miezi kumi sasa, bado hajaanza kutambaa zaidi ya ku roll/zunguka na kuamka kukaa, kujistretch kama kitu kipo mbali na mateke.
Vitu vingine yupo full active, naomba kujua kuhusu hili? Je, kuna kitu cha kufanya zaidi ili ku emphasize hili?
Hua nikimshika hua nampaga phyzik mpaka mama yake anamuonea huruma, hua namuambia huyu ni ME hafai kudekezwa.
Naomba kujua mbili tatu kistaarabu wakuu.