Mtoto wa JK aula Etihad Airways

View attachment 538554
Moja ya darasa la wanafunzi wa urubani wa Chuo cha Etihad....

View attachment 538553
Moja kati ya ndege zao za mafunzo wakiwa chuoni.

View attachment 538552 Huyu kijana wa JK sidhani hata kama atakuwa amefikia level ya kama huyu kijana ya kuwa "Solo Pilot".Na ukiangalia begani kwa wote wawili,wana "bar" moja kuashiria bado wapo "darasani" au wapo tu chuoni kusoma na si kwamba wameajiliwa(Nipo tayari kusahihishwa ndani ya mjadala kama kaajiliwa)

Hongera sana kijana,hivi huyu ni Rashid au Khalfan!?Huwa ninawachanganya.
Hivi amepata ajira au yupo "Training" kwa ajili ya kupata masaa?Maana kwa pesa ya baba yake,sio kazi kulipa "Etihad Flying School" ili apate masaa ya kuwa rubani kamili baada ya kuwa darasani.

Maana hata ukiangalia begani ana bar moja tu,ili uwe "Pilot in Command" hapo begani lazima uwe na "Four bars".Sasa huyu dogo atakuwa ametoka tu shule huko Marekani then "field" anafanyia Etihad na mzazi akawa analilipa shirika ili mtoto apate masaa(Rating Hours) then anarudi bongo tu kurusha Boeing za ATCL.

Au anaweza akawa kwenye shule ya marubani iliyo chini ya kampuni ya ndege ya Etihad.Wakuu kuinua dude kama Boeing 737-800,Boeing 777,Boeing 787 au Airbus 380 au ile mpya A350 siyo kwa bar moja begani.Utauwa watu dakika moja tu.

Kitu kingine wazazi tunachopaswa kujua,a pilot is just a mere driver.Urubani ni kama udereva tu,training yake ni miezi sita baada ya hapo unaanza sasa kuruka ili upate masaa ya kuweza kukupa uzoefu wa kurusha ndege,unaanza kupata leseni ya kuruka ukiwa solo,then ya kuruka na abiria na baadae ndege za kibiashara.

Tatizo ni ada ilivyo ghalama.Kitu kilicho kigumu ni kuwa Engineer wa ndege na sio rubani.Ndio maana zile ndege pale nyumbani terminala one,vijana wengi waliishia kidato cha nne,sababu baba zao wana pesa,wakaenda course South Africa na USA na sasa wanarusha.

Mzee Mwinyi ana mwanae rubani,sema ile sio familia ya facebook na Instagram.

NB:Isionekane nina wivu
Wewe jamaa nakuelewa sana , Huyo bwana mdogo hawezi kupata ajira ivo Etihad bila ata kuwa na masaa ya kutosha. Sema Dah ktk maraisi wote ambae Familia ake itasumbua kwa Utajiri miaka na miaka ni Mkwere, Huyu jamaa ni Fundi sana Wa fitna na Figisu kwa kiwango cha lami
 
Hahahahahaaaa umetisha kaka....ila udreva wa ndege huwezi linganisha na corolla ndugu....kichwa lazima kiwe tinamu buana

Sent from my TECNO-W3 using JamiiForums mobile app
Udereva wa Corolla unaweza kuwa unahitaji kichwa zaidi kukwepana na bodaboda zote chini.

Udereva wa ndege ukiweza kupaa na kutua huko juu unaweza hata kuiweka autopilot :)
 
Wengine walishanivamia humu na kusema nina wivu mkuu
Tatizo watu hawaamini kama urubani ni udereva tu sema thamani inakuwa juu kutokana na ada kuwa juu....ukienda pale airport utakuta marubani kibao wanasubiri deiwaka kama wanavyosubiri madereva wa daladala....mtu anaigiwa simu kuna safari ya Zanzibar anainuka anachukua mchuma anaurusha alafu akirudi tena ansubiri siku nyingine
 
Freelencer Pilots
 
Pongezi nyingi kwake, Tanzania tumepata Balozi Etihad.

Ni jukumu sasa la wazazi, kutumia mafanikio haya, kuishauri Serikali, kuboresha Mitaala na Nyenzo katika Shule zake, ili kuwapa fursa watoto wetu (kundi la walalahoi) kuweza kufikia Ndoto zao...!!

Bigup....Raisi wetu Mstahafu, JMK.

Hapo sasa umeshaa utua Mzigo.

Sent from my SM-A500F using JamiiForums mobile app
 
View attachment 538554
Moja ya darasa la wanafunzi wa urubani wa Chuo cha Etihad....

View attachment 538553
Moja kati ya ndege zao za mafunzo wakiwa chuoni.

View attachment 538552 Huyu kijana wa JK sidhani hata kama atakuwa amefikia level ya kama huyu kijana ya kuwa "Solo Pilot".Na ukiangalia begani kwa wote wawili,wana "bar" moja kuashiria bado wapo "darasani" au wapo tu chuoni kusoma na si kwamba wameajiliwa(Nipo tayari kusahihishwa ndani ya mjadala kama kaajiliwa)

Hongera sana kijana,hivi huyu ni Rashid au Khalfan!?Huwa ninawachanganya.
Hivi amepata ajira au yupo "Training" kwa ajili ya kupata masaa?Maana kwa pesa ya baba yake,sio kazi kulipa "Etihad Flying School" ili apate masaa ya kuwa rubani kamili baada ya kuwa darasani.

Maana hata ukiangalia begani ana bar moja tu,ili uwe "Pilot in Command" hapo begani lazima uwe na "Four bars".Sasa huyu dogo atakuwa ametoka tu shule huko Marekani then "field" anafanyia Etihad na mzazi akawa analilipa shirika ili mtoto apate masaa(Rating Hours) then anarudi bongo tu kurusha Boeing za ATCL.

Au anaweza akawa kwenye shule ya marubani iliyo chini ya kampuni ya ndege ya Etihad.Wakuu kuinua dude kama Boeing 737-800,Boeing 777,Boeing 787 au Airbus 380 au ile mpya A350 siyo kwa bar moja begani.Utauwa watu dakika moja tu.

Kitu kingine wazazi tunachopaswa kujua,a pilot is just a mere driver.Urubani ni kama udereva tu,training yake ni miezi sita baada ya hapo unaanza sasa kuruka ili upate masaa ya kuweza kukupa uzoefu wa kurusha ndege,unaanza kupata leseni ya kuruka ukiwa solo,then ya kuruka na abiria na baadae ndege za kibiashara.

Tatizo ni ada ilivyo ghalama.Kitu kilicho kigumu ni kuwa Engineer wa ndege na sio rubani.Ndio maana zile ndege pale nyumbani terminala one,vijana wengi waliishia kidato cha nne,sababu baba zao wana pesa,wakaenda course South Africa na USA na sasa wanarusha.

Mzee Mwinyi ana mwanae rubani,sema ile sio familia ya facebook na Instagram.

NB:Isionekane nina wivu
Aksante mkuu, umeeleweka
 
Alaaa kumbe!!Ndio unanifahamisha hapa

Ritz wa Kikwete? Hamna kitu pale....uwakili kapewa tu, alikuwa hana kitu mukichwa ila kwa sasa anajitahidi kuongea bungeni baada ya kuandikiwa hoja na baba yake ili awakilishe Msoga vizuri.
 
Back
Top Bottom