Mtoto na wali!!

jmura

Member
Apr 27, 2010
57
9
Mtoto mmoja kule kijijini alikuwa amepewa chakula na mama yake. Chakula chenyewe kilikuwa wali sasa mama akamsikia mtoto wake analia akamuuliza kwanini unalia mtoto akamwambia naomba chakula. mama yake kama kawaida akamwongezea ili mtoto ale ashibe na kusaza lakini baadaye mtoto akaanza kulia tena. mama akamuuliza kulikoni mtoto akajibu mama tumbo uma huku akiendelea kula! Ulafi nooma!
 
Teh teh teh teh teeh, unikumbusha kuna bibi mmoja mjukuu wake alivimbiwa wali wa sherehe ya harusi, tumbo likaanza kumuuma, ilibidi yule bibi amchukue mjukuu wake na kumloweka kwenye beseni la maji ya baridi ili kupunguza shibe ya mjukuu wake
 
Back
Top Bottom