Mtoto hapendi chakula chochote

Akthoo

JF-Expert Member
Nov 5, 2007
998
1,015
Tafadhali bwana Dr. nisaidie.
Mtoto wetu ana umri wa Mwaka mmoja na miezi sita sasa hapendi kula chakula chochote zaidi ya kunyonya maziwa ya mama yake. Je kuna njia yeyote ya kumsaidia ili aweze kula kwa sababu hata ukuaji wake (uzito) sasa umekuwa taratibu mno.
 
Ni tiba kupitia matunda ya peaches na imeongezwa vitamin A.ina ladha nzuri sana watoto wanaipenda sana.imekua packed katika kidumu kidogo cheupe. Izi bidhaa tunatumia sana na familia yangu.0765377506 wasiliana na uyo kaka! Ndo yuko kwenye iyo kampuni. Yeye ndo alitusaidia.
 
Chakula jamani ndiyo dawa aina ya kwanza, pamoja na multivit lakini hakikisha anakula hata kwa lazima baadaye atapenda,pia mbadilishie aina ya chakula kila wakati ila zingatia balance diet. Watoto wanapenda sana pipi biskut na vitamu vingine na wanaishia kufutuka hiyo si afya bora
 
Back
Top Bottom