- Thread starter
- #61
sio wanaume wote ni mume
Good Morning Vaislay. Aisee, yaani umeifungua siku yangu vizuri sana. nimecheka sana.
sio wanaume wote ni mume
ebwana eee...bby girls are the best yaani unawaremba utakavyo....wee enjoy tuu.
hope na mie wife atatotoa bby girl..akileta dume patachimbika ndani ya nyumba...atarudigi labour mpaka alete daughter
ha haaa, rafiki yangu The Boss yupo sahihi kabisa......
yalinikuta personally. Babangu alikuwa nananipenda saaanaaaaa, matokeo yake hakutaka hata kusikia nimepata mchumba...... yaani niliolewa tu kwa busara za wazee wengine.
Hapo kwangu kukawa hivyo hivyo, dad na daughter mapenzi motomoto. nikajikuta kwa kila jambo mimi ndo opposition.
baada ya kuwekana vikao + binti kukua na kumvuta sana kwangu + kumwongezea baba marafiki wa kwenda nao beach, sasa mambo yapo bomba, hakuna anayelalamika. nina uhakika hatakuwa baba mkwe mkali kwa mume wa binti
dahh my bby girl kazaliwa almost a week ago lakini sijapata kumuona coz mambo ya budget ya afya yalinibana.kesho ndo naenda dar kukaona,yaani nina hamu naye balaaaaaaaa.....
Weka wakati maalumu kwaajili yako na mkeo mfano ikifika saa mbili usiku ni muda wa mtoto kulala na watu wazima wapumzike!hata kama unampenda kiasi gani lazima umlee katika misingi na mipaka au atakupanda kichwani!watoto wako very manipulative na akishajua unampenda sana utakipatapata!nitakupa mfano mdogo leo nilienda dukani na mwanangu mbio akakimbilia kufata figure mmoja anaipenda sana,hakuniuliza ye kaenda kasomba tu!nikafikiri nikamwmabia no,nikamwambia kwanza si sawa uende kuchukua kitu unachotaka tu bila kujadiliana na mimi na kuniuliza kama naweza kukununulia,kusema kweli nilikuwa ninao uwezo wa kumnunulia lakini nikamwambia sina pesa kwasababu nimegundua siku hizi amezua tabia ya kunimanipulate tukifika dukani anachukua anachotaka halafu ananipa zile puppy eyes!roho imeniuma kwasababu nampenda sana na napenda afurahi lkn sikumpa anachotaka ili tu ajifunze kwamba si kila anachotaka lazima apate na si lazima apate wakati huohuo au siku nyingine anaweza kukuadhirisha mbele ya watu!amenuna akalia kimyakimya lkn najua amejifunza kitu!ijapokuwa tunawapenda watoto wetu sana lakini tuwawekee mipaka hata kwenye ule muda tunaokuwa nao!mtoto wa miaka 3 anaweza kufata rutine ili wewe na mkeo mfurahie ndoa yenu!kila la kheri
Watu dizaini yako wanakuwaga baba mkwe mkali sana na mkorofi...kwa mume wa binti yako
We unajua embu ielezee ladha yake ..mkumbushie
Mbunye tamu kuliko kukaa na huyo mtoto, unaweza ukasahau hata kwenda kazini