Mtoto anapochukua attention kubwa kupita mke

jamaa tunajua huyo ndio mwanao wa kwanza, najua upendo huo umezidi kwakuwa binti amefanana na wewe sana, sasa kuwa makini pia usimkere sana mwenzio....

Kabanga huyu ni wanne, ila wakubwa wote wakiume. Ni kweli amefanana na mimi sana. Hilo lakumkera ndio itabidi kwa kweli nilifanyie kazi
 
Kabanga huyu ni wanne, ila wakubwa wote wakiume. Ni kweli amefanana na mimi sana. Hilo lakumkera ndio itabidi kwa kweli nilifanyie kazi

sasa mwezio ninao wa5 lakini wote mwanzo mwisho ndio mimi lakini maisha yanasonga....jitahidi!
 
ni vizuri kuwa karibu na mtoto unastahili kuitwa baba mwema

ila jitahidi kutenga mda wa mkeo ili aijione mpweke

jitahidi kuwa na ratiba mda wa mtoto na mke
 
Niko mda sasa kwenye ndoa iliyobarikiwa kwa neema zote kikubwa watoto. Ingawa kuna wakati mwingine napotoka kidogo ila upendo na heshima kwa mke wangu haujawai kupungua.

Mambo yalianza kubadilika pale tulipobarikiwa babygirl, napenda sana watoto wa kike, nimejikuta nakapa too much attention hata mda wa kukaa na mke unapungua. Mke ameanza kulalamika na kwa kweli nashindwa kujizuia.

Nakapenda sana kabinti kangu. Kamebadilisha hata maisha yangu maana siku hizi saa mbili hainikuti nje ya nyumbani kwangu. Sijui kama hii ni normal. Ila nasema ukweli kabisa ninaweza hata nikasahau ratiba ya kumgegeda wife kisa nacheza na haka ka baby. Kana miaka mitatu sasa.

Hujui utamu wa mbunye wewe, ngoja siku mkeo agome kutoa huduma, attention utairudisha tu
 
Kila kitu kina muda wake, kuna muda wa kukaa na familia au kukaa na washikaji, ndugu, jamaa na marafiki

Kuna muda wa kukaa na mke na muda wa kucheza na watoto

Jifunze kubalance muda wako
 
Nilisoma makala flan hivi kwny gazeti inasemekana siku hizi wanaume wengi wa kiafrika wamekuwa na mapenzi sana kwa watoto wao esp.wa kike kuliko wake zao na hii hali pia inachangia sana kuvunja ndoa na hali hii inashamiri sana nowdays...
 
^^
Nyakati kama hizo, siku za nyuma unamruhusu mtoto akakae kwa Babu na Bibi, ajifunze mengine na kutoa nafasi ya mama kumiliki kifua chake!
^^
 
Back
Top Bottom