Mtizamo wa mdau fulani fulani...

jmnamba

Senior Member
Mar 31, 2012
156
25
Kuna bwana mkubwa amenichekesha sana sasa hivi amesema eti "CCM imewaachia CHADEMA washinde Arumeru ili wahisani waendelee kututumia pesa za misaada, kwa sababu ingeshinda tena wahisani wangeanza kuamini kwamba chama tawala kinakandamiza ushindani, kila uchaguzi wanashinda wao tu" kwi kwi kwi!!
 
Umenifanya nami nicheke sana.
Duh! Ngoja nikalale.

Wao wanafikiria kushindwa ni jambo jepesi kihivyo. Walizoea kutupa maumivu hayo wazalendo, ngoja sasa wayapate. Na bado, hiyo ni ishara tu kutoka Kaskazini.

Wakatafute waganga na kutafutana mchawi.
 
.
Duh! Ngoja nikalale.

Wao wanafikiria kushindwa ni jambo jepesi kihivyo. Walizoea kutupa maumivu hayo wazalendo, ngoja sasa wayapate. Na bado, hiyo ni ishara tu kutoka Kaskazini.

Wakatafute waganga na kutafutana mchawi.[/QUOTE]

kwi kwi kwi, kwo kwo kwo, teh teh
afadhali nikalale mie
 
uyo bwana mkubwa amehaha baada ya kuona respond ya watanzania werevu.
Kelele za chura.......
 
CCM watamaka kila kitu! Hayo maneno ya mkosaji. Wind of change hiyo na bado wataipata!
 
Kuna bwana mkubwa amenichekesha sana sasa hivi amesema eti "CCM imewaachia CHADEMA washinde Arumeru ili wahisani waendelee kututumia pesa za misaada, kwa sababu ingeshinda tena wahisani wangeanza kuamini kwamba chama tawala kinakandamiza ushindani, kila uchaguzi wanashinda wao tu" kwi kwi kwi!!

Hapo ningekuwa mdhungu ningekwambia, 'what ever that helps you sleep at night!'. ILa kwa kuwa mi wa huku huku Arumeru East nakupa pole kisha nakuelewa kwa sababu najua kukosa ushindi si kitu kidogo, na tusipokuelewa unaweza kwenda kujinyonga bureee! Kwa hiyo tunakubaliana na hivyo ulivyosema...
 
Yaweza kuwa kweli. Ingawaje si kweli.

CCM sasa wameshindwa kuwa danganya wananchi wa Armeru. Na kwa muelekeo huu watashindwa kuwadanganya watanzania.
 
Back
Top Bottom