Mtikila Na DP Wana Wanachama Wangapi

Muke Ya Muzungu

JF-Expert Member
Jun 17, 2009
3,444
264
Zaidi ya mke wape na yeye mwenyewe, Mtikila, na Mrema wana wanachamba wangapi? Naambiwa kwamba Mtikila na mkewe ndio wanachama hai wa DP? simu yake ya mkononi ndio simu ya ofisi. Mke wake ndio katibu mkuu, na yeye mwenyewe Rev. Ndio mwenyekiti. anapokea kweli ruzuku huyu?
 
wanne!
1.Yeye mwenyewe
2.Mke wake
3.Katibu wake
4.Dereva wake.
Teh teh teh!

usinivunje mbavu.. nilikutana naye juzi maeneo ya kimara akiwa na suzuki kuu kuu, basi nikajiuliza maswali mengi sana. zile kesi zote anazoshinda si angenunua nangalau kigari cha maana? kweli ni mzalendo mtanganyika
 
Back
Top Bottom