Asante Mfamaji,Nimeununua Arusha kwenye nursary za Manispaa. Hata pembezoni mwa barabara wako wanaouza.
Sasa wewe umeupanda sehemu gani ya nyumba yako, mbele au nyuma. na unafukuza mbu kwenye compound nzima au hapo kwenye mti tu. Maana kama ni hapo palipopandwa, usiku unajiwekea godoro, unapiga mbonji...bila usumbufu wa kujicover na hati punguzo.
Dar Es salaam inapatikana hii?