Mtemvu wa CCM Atoa Onyo Kwa Wajumbe: Mkileta Wabunge Wasiokubalika Tutawakata.

ChoiceVariable

JF-Expert Member
May 23, 2017
44,947
51,765
Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Dar bwana Abbas Mtevu amewataka wajumbe wenye dhamana ya kupitisha wagombea wa Ubunge na udiwani kupitisha wagombea ambao wanakubalika Kwa Wananchi vinginevyo watawafyeka.

View: https://www.instagram.com/reel/C6j3pk1sNNl/?igsh=MWl5NmNkZnVjcXJuZw==

My Take
Naunga mkono hoja, kimsingi hapa Tanzania hakuna Wapinzani ila ukiona Wapinzani Wameshindwa ujue CCM ilipitisha mgombea ambae hakunaliki kisa wajumbe walivuta mpunga.
 
kwa utaratibu wa wajumbe kupitisha wagombea ni ngumu sana kupata wanaokubalika kwa wanainchi ispokua pesa, ila kwa utaratibu wa wanachama wote kupitisha wagombea inawezekana kabisa kupata wagombea wanaokubalika, bora na makini zaidi 🐒
 
CCM ni Watanzania.Wakinzani ni Watanzania. Unapoueleza umma kwamba hakuna wakinzani unajaribu kutueleza kwamba nchi haina watu au unamaanisha nini?NB;Kaa utulie ujielimishe zaidi ukinzani ni nini hasa!
 
Huwajui vizuri hao masisiemu wanatoa kauli za hvo kabla ya uchaguzi ila mchakato ukianza wanakua kama mbweha hela tu inaaanza kuongea
kwa utaratibu wa wajumbe kupitisha wagombea ni ngumu sana kupata wanaokubalika kwa wanainchi ispokua pesa, ila kwa utaratibu wa wanachama wote kupitisha wagombea inawezekana kabisa kupata wagombea wanaokubalika, bora na makini zaidi 🐒
Wale sawa ila wachague yule anakubalika
 
Kwanini uongozi wa juu usiwe unachagua tu wagombea moja kwa moja bila wajumbe?
 
Naunga mkono hoja.
Japo ili lifanye kazi kwa ngazi zote.
Yaani kuanzia juu kabisa hadi chini kabisa..
Vinginevyo, hakutakuwa na haki maana wanachama wote ni sawa bila kujalisha cheo.
 
Tuleteeni wanaokubalika na sisi wananchi.
Ilo litapunguza athari za baada ya uchaguzi.
Maana mkileta watu ambao hawakubaliki kuanzia ngazi ya Rais hadi Diwani, Mjue kabisa mtatumia nguvu kubwa sana kuwapitisha kwa wananchi
 
Ngoja tuone. 🙏🙏
 
Kwanza kabisa poleni na Hidaya. Binti huyu kachachafya kweli kweli. Poleni sote.

Tiendleee....hili suala zima linafikirisha sana.

Kwamba kuna wabunge wasiokubalika kwenye Bunge letu? Walipitaje?

Let' assume walipitishwa, kwa vyovyote vile; Bao la mkono, Maagizo kutoka juu, bahasha mkononi n.k n.k -wanatuhakishia vipi Watanzania kwamba mambo hayo hayajirudii?

Maana yake kama hata huko nyuma walisema haya haya, kwamba 'wasipelekewe wabunge wasiokubalika, ni vigezo gani watatumia safari hii? Je, Utaratibu wanaoutumia, kiutamaduni ndio ushapitwa na wakati? hamna kanuni na utaratibu unaoeleweka?

==============
nje, kidogo hapa
==============
tlaataaah kwa namna moja au nyingine, suala hili limemgusa, ikumbukwe amekubalika ama ameshapitishwa na madiwani wa umma wa JF- baada ya kutoka hadharani na kuweka dhamira yake ya kutuwakilisha bungeni 2025 Je, anavyo vigezo vya Mtemvu?
 
Umepiga kwenye mshono ! 🙏
 
Back
Top Bottom