Mtela Mwampamba,Habib Mchange na Nyakarungu waratibu mkutano wa waandishi wa Habari Serena Hotel

Zito kabwe ni mwanasiasa mzuri na mimi nashauri wote yeye na kitila mkumbo waombe radhi kamati kuu ili wasamehewe pia waelekezwe namna bora ya kukisaidia chama maana hata wao ni binadamu na wanakosea..Pia kamati kuu chadema ijitahidi kuwa kama mzazi kuliko mahakama maana tunasafari muhimu sana kuelekea 2015 au 2020 nk hatupendi baadhi wapotezwe katika mawimbi haya..NAWAOMBEA MSAMAHA ZITO KABWE,DR WANGU KITILA MKUMBO NA SAMSONI MWIGAMBA kwa kamati kuu.Pia kamati kuu zungumzieni pia masuala haya yaliyoleta changamoto hizi kama kuna mahali watuhumiwa walikuwa na hoja ifanyiwe kazi.
 
Kwa upande wake Dk. Kitilla Mkumbo alikiri kuuandaa waraka huo kwa kushirikiana na Mwenyekiti wa Mkoa wa Arusha, Samson Mwigamba, ambaye naye kwa sasa amesimamishwa.

Alisema waraka huo uliandaliwa kwa siri bila kumshirikisha Zitto na kwamba hajui lolote kwani walipanga kumpelekea baada ya kukamilika na baada ya chama kutangaza tarehe ya uchaguzi.

Dr.Mkumbo kwa hili sisi pia ni watu wazima ingawa tumeishia darasa la Saba la Mkoloni lakini uwongo kama huu ni mzito sana, na kitendo chako cha kugoma kutomtaja M2 si cha kuuugwana, kinaonyesha waraka huu haukuwa na nia njema hata kidogo.

Pia kitendo cha kumbagua mwenzenu Samson Mwigamba si cha kiugwana pia, kama mlianza naye kazi hii kwa nini msimalize naye pamoja.
 
Kitila Bado aja nijibbu swali langu,nili muuliza Yule mbwa wa Arusha aliye mtaja kwenye waraka ambao alikiri kuanda nimbwa yupi hasa alikua ana mmanisha,je kuna mbwa ana fuga Arusha?
 
hajakiri vema, inabidi moja ya sharti ya kuendelea kuwa mwanachama iwe ni disclosure of the unknown participant, ndo tutajua ametubu kweli, huwezi kusema nisamehewe dhambi zangu bila kuzitaja ni zipi! na kama unazificha basi inaonyesha bado kuna ajenda ya chini kwa chini, anaweza kuendelea kuitekeleza muda na wakati ukiruhusu.

atajwe ili mienendo yao iweze kuwa monitored kwa pamoja watu ambao wameonyesha kutokuaminika pamoja na kuwa waliaminika.
 
kuna kitu nyuma ya pazia
Zito kuandaa mkutano na waandishi wa habari akijua anatakiwa kujibu tuhuma
angefanya busara kama angezijibu kwa wahusika wa chama na sio kujitungia tuhuma na kuzijibu.
kuna kitu anatafuta,anatafuta kufukuzwa kwa lazima ili akibomome chama kama alivotumwa na wahafidhina Mwigulu na nchimbi ambao wamkeiri hayo katika mawasiliano yao.
kitendo cha CCM kuandaa mkutano huo na waandishi nacho kinazidi kuwachafulia.
Msando nae anaonekana kufadhili na kutumika kuhoji uwezo wa kamati kuu huku akijua yeye ni kama dagaa ndani ya bahari.
 
kama ni waraka wa siri why wasitumiane wahusika wenyewe?tena kwa makaratasi na si softy copy?dr kitila kheri yako umekili umekosea
 
Team Zitto kwa sasa inajipanga kuleta propaganda chafu na siasa za majitaka ambazo ndio utambulisho wao.
Wanadhani wataweza kuzuia adhabu inayomsubiri bosi wao, no way.

Kwa Zitto na masalia kushirkiana siku ile pale Serena Hotel, ilikuwa ni utoto tu eti anajairibu kuitia wivu CHADEMA.

I sincerely hope that very soon he will join them there.
 
Ila wakati huo mkumbuke nguvu za giza ziko kazini! tena sana.Kumbuka zzk ana wataalam hadi wa kuzuia mvua isinyeshe akiwa kwenye mikutano yake ya hadhara!Hutaki unaacha

Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
 
Msamaha ni tendo jema limepndezalo hata Mwenye Mungu Muumba wetu. Ila ili kusamehewa ni lazima kuungama kwa kuzitaja dhambi zako zote na kuzijutia na kuahidi kwa namna yoyote kutozirejea!

Awataje wahusika wote na maana ya kuwaita wengine "mbwa" au "kichaa"! Mkumbo akisamehewa bila kutaja dhambi zake zote, nitakuwa mtanganyika wa kwanza kuchukua kadi ya chama chochote (ambacho si CDM wala CCM) kwa mara ya kwanza wakati kitendo cha kutochukua kadi ya CDM nitakuwa nimelazimishwa..
 
UVCCM haimchafui Zitto bali anajichafua mwenyewe.Kwa akili timamu na huyo bingwa wa SWOT analysis mnatumia watu wa CCM kwenye shughuli za chama chenu tena bado mkiwa na tuhuma za kutumiwa na CCM?

Kiburi tu kwakuwa wanaona hawapotezi lolote.
 
UVCCM haimchafui Zitto bali anajichafua mwenyewe.Kwa akili timamu na huyo bingwa wa SWOT analysis mnatumia watu wa CCM kwenye shughuli za chama chenu tena bado mkiwa na tuhuma za kutumiwa na CCM?

Kiburi tu kwakuwa wanaona hawapotezi lolote.

Kiongozi
Hivi ile SWOT analysis ya Kitila unaionaje? unajua kama ni scraped version?
 
Nia hii ya huu waraka inatia shaka. Ndugu yangu kitila mimi bado naona kuwa huu waraka kama nia ilikuwa ni kuonyesha njia kuelekea ushindi ilipaswa kuwa ya kichama na si ya kikundi. Makundi ndio yanaua chama.
Nashauri mkiri makosa na muwe wanachama safi unless kuwe kuna move nyingine yenye malengo mabaya na chama.
Mimi nilikutazamia nikupe kura yangu 2015; sasa mnataka kukiua chama.jisahihisheni mlipokosea.
Zzk nawe acha tabia za ukigoma, huwezi kuamua wewe kuwa kiongozi bali wana chama na hasa cc ya chama.kama hujachaguliwa kubali kushindwa na jaribu siku nyingine na sio kuendeleza malumbano na viongozi wa chama walioko madarakani.
 
Kiongozi
Hivi ile SWOT analysis ya Kitila unaionaje? unajua kama ni scraped version?

SWOT analysis ina lugha za kihuni kama magumashi! kiswaglish , maneno ya kifacebook! yani ile SWOT analysis imekaa kifacebook zaidi!
 
THIS IS THE BIGGEST OPPORTUNITY FOR CHADEMA

nawashangaa watu wote wanaomsupport zitto. hoja zote zinazojengwa na hao watu ni kwa ku-ignore the fact that mipango yao ya siri ilikua na backup ya CCM. sasa unategemea nini kwa zitto kushika madara ya juu CHADEMA chini ya usaidizi wa CCM. ni mtu mwenye akili fupi tuu ndio hataelewa hili.

1. Idea for suporting zitto was introduced and promoted my CCM. and then zitto knew it and he accepted the deal
2. Strategic plans and set up was done by Kitila Mkumbo and Mwigamba.
3. FINANCIAL BACKUP, INTELLIGENCE SERVICES, AND PLANNED STRATEGIES WERE EXECUTED BY CCM AND SOME OF TISS MEMBERS

hawa wote wanaojitetea... wanajitetea kwa kutokana na hiyo point no 1 and 2. lakini kwa ujanja wao na upotishaji wao wa maukusudi wanafunika hiyo fact no 3

Zitto must be complitely terminated...

ACTION PLAN A = Kumvua madaraka = pre-emptive strike.
1. hao akina zitto na team yake wanachofanya sasa ni kuhakikisha chadema haiwavui uanachama. kuto mvua zito uanachama itakukua ni ushindi kwa zitto.. na ataendelea na mipango yake miovu ya kukiharibu chama....kwa maana atakua ndani ya chama bado...
2. kuto mvua uanachama zitto kutafanya aanze kukusanya wafuasi ndani ya majukwaa ya chadema waziwazi na hatimae kuharibu chama kabisa.
3. akiachwa atajifanya mwaminifu sana na mwenye nia njema... (hii ataifanya pia kwa ajiri ya kudaka wafuasi wake wengi zaidi)

ACTION PLAN B = kumvua uanachama = must be the target action to take
. Lazima mtu huyo asiwe mwanachama wa CHADEMA tena… atahaha kwa muda lakini hatakua na effect.. safi sana CC kwa kumpa 14 days-days ambozo watu wengi tayari tumeshajiridhisha kua huyu jamaa sii mwema kabisa.

FAIDA ZA ACTION B
1. CHADEMA itajidhihirisha kua kweli wako serious na kwa maana hiyo wataingia madarakani kwa kishindo kikuu.. na kwa ouga wa hali ya juu... watu wataacha ufisadi na ujinga wote (irresponsibility) ndani ya serikali.
2. viongozi na wanachama wote wa CDM watakua moyo mmoja with one passion, one vision and one mission kuhakikisha kua chama kinashinda uchaguzi.
mamluki hawatakua na nafasi tena... na kila mamluki ataweza kumulikwa kirahisi sana.
3. hakutakua na lelemama tena.. kila iliye chadema atakua very serious na majukumu ya kichama na kitaifa.
4. CHADEMA wataingia madarakani wakiwa ni wamoja… ready for drastic development of this nation.
Huyo jamaa ana roho wa kiburi, roho wa kujigamba, roho wa misifa, roho wa ubinafsi(u-mimi), roho ya dharua.
NCHI HII MUNGU HATARUSU KUSHIKWA NA WASHIRIKINA, WANAMITANDAO, WACHEZA RAFU NA WOTE WANAOAMINI KATIKA UCHAWI. WALE WOTE WANAOABUDU SHETANI KWA KUPITIA WAGANGA WA KIENYEJI. NCHI HAITASHIKWA TENA NA WATU WA MAZINGAOMBWE…
 
Ila wakati huo mkumbuke nguvu za giza ziko kazini! tena sana.Kumbuka zzk ana wataalam hadi wa kuzuia mvua isinyeshe akiwa kwenye mikutano yake ya hadhara!Hutaki unaacha

Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums


ha ha ha aaaaa ha ha haaa!!!!!!!! mbavu zangu mie!!!!
 
Back
Top Bottom