Mtawa Mkatoliki apigwa Zanzibar

Status
Not open for further replies.
Tafsiri ipi potofu? Kama walijiripua wenyewe pale soweto,hayo mengine yanashindikana vipi?

Ni kama ambavyo pale mwembechai walijipiga risasi wenyewe kwa amri ya YUSUF makamba kudaadeki. Au shehe PONDA alivyojipiga risasi mwenyewe.
 
‘They surely are infidels who say that God is the third of the three’
[Quran 5:73] and urged them to ‘believe therefore in Allah and His messengers, and say not, Three (Gods)’
[Quran 4:171] Sahih Bukhari: Vol 9, Book 84, No 64: So, wherever you find them [Unbelievers/non-Muslims], kill them, for whoever kills them shall have reward on the Day of Resurrection Then, when the sacredmonths have passed, slay the idolaters wherever ye find them, and take them (captive), and besiege them, andprepare for them each ambush. But if they repent and establish worship and pay the poor due, then leave their way free’(verse9:5)‘ verse 9:29 (revealed in 631): ‘Fight those who believe not in Allah, nor the Last Day, nor hold that
forbidden which hath been forbidden by Allah and His Messenger, nor acknowledge the religion of Truth
[Islam], (even if they are) of the People of the Book [Jews & Christians], until they pay the Jizya with willing
submission, and feel themselves subdued.’ Hakuna ambalo shkhe ponda halijui hapo, ni mafundisho ndani ya quran kupigania uislam kwa kuteketeza dini nyingine wenzetu (waislam) huuwa haonyeshi haya hizi zipo nyingi sana kwenye korani,

Tatazo watu wengi huwa hawaelewi, wakisikia mashehe wanahubiri chuki dhidi ya madhehebu mengine wanadhani ni wachochezi, kumbe wao wanahubiri kilicho ndani ya vitabu vyao vya dini, na hiyo ndio kazi yao kama viongozi wa dini.
 
Suluhu ya udini Tanzania ni kuchora mstari tu! Hata siku moja YESU hajawahi kuitwa Issa, ila upande wa pili wanang'ang'ania kweli. Hawaridhiki na Mohd na Issa wao wanataka na YESU KRISTO! Majanga
Na haitakaa iwe Yesu kuwa Issa..,dini yamajanga
 
Habari nilizozipata punde kutoka Zanzibar zinasema Mtawa Mkatoliki ameshambuliwa na kuumizwa vibaya Visiwani Zanzibar jirani kabisa na alipopigwa risasi Padri Mushi na kuuawa.

Chanzo ni mbwa wa masista kumng'ata kuku wa majirani. Ndipo kundi la vijana wenye mapanga na marungu wakamvamia mtawa na kumuumiza.-

Chanzo: Mwandishi wetu wa Zanzibar

pole sana sista. Tuwe wavumilivu tuachie vyombo vya dola la sivyo hakutakuwa na amani.
 
Ukitaka kucheka utangoja mpaka kiayama kama utasikia kauli ya Pro Lipumba kuhusu sakata hili yeye yuko busy na suala la Sheikh Ponda.
Shekhee Lipumba anasubiri apewe msikiti atazungumziaje issue ya mtawa..
 
acheni dhana zenu potofu izo. Kwani huko tanganyika yanatokea mangapi na mbona watu hawasemi munavyosema nyinyi. Kuweni na akili jamani
 
Dini ni kitu kibaya sana hasa kwa wenzetu wasiojua dini maana yake nini... Mafundisho yanayomwinua shetani na mafundisho yanayomtukuza Mungu kamwe ya kumwinua shetani hayawezi kuwa na nguvu... Kila kitu kina mwanzo na mwisho...
Hata nchi zenye popalation ya Islamic kwa wingi wamekosa uvumilivu matokeo yake wanauwana..Hakika shetani ana nguvu sana
Shetani aliahidi mbele ya Mungu kwamba atawajaribu wote wenye kuamini mpaka ahakikishe wote wanaingia motoni au watabakia wachache tu! kwahiyo usitegemee shetani ataenda tena kwa wazungu huko ameshamaliza kazi, sasa ameingia kwenye nchi zenye imani kuwavuruga na hao wazungu ni miongoni mwa shetani wanamsaidia kutekeleza kazi yake!!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom