Mwakalinga Bujo
JF-Expert Member
- Oct 22, 2008
- 2,719
- 1,440
Huyo jamaa ni Porter mlima kilimanjaro,alionyesha nia yake muda mrefu na akatangaza nia pamoja na kuomba michango.Ila taarifa zisizo rasmi alipata support kubwa kwa watu wasio watanzania husasani dubai.Ahsante kwa taarifa mkuu, ila ungenipa maelezo kidogo kuhusu huyo jamaa moshi anapiga kazi wapi au ni mwanafunzi?
Ngoja Niweke ule wimbo wa Mkoloni ft Mr Ebbo & John Walker-Sifa za kijinga.
Ngoja Niweke ule wimbo wa Mkoloni ft Mr Ebbo & John Walker-Sifa za kijinga.
King Kong anaonyesha ana shule ndogo na low exposure!Tafuta unaoitwa WIVU WA KIJINGA. . .unakufaa sana.
Wilfred amekuwa mtanzania wa kwanza kuweka historia ya kupanda mlima mrefu kuliko yote duniani.Amefika kileleni leo 19/05/2012 saa 3 asubuhi.
HONGERA SANA BWANA WILFRED MOSHI KWA UJASIRI NA USHUJAA ULIOTUONYESHA KWA WEWE KUTIMIZA NDOTO ZAKO.

Hongera sana bwana Moshi,lakini nimejiuliza iweje historia hii iwekwe leo 2012.,siku zote tulikuwa wapi?,ina maana hatuna interest au ni umaskini ndio kikwazo.
Tafuta unaoitwa WIVU WA KIJINGA. . .unakufaa sana.
Wilfred amekuwa mtanzania wa kwanza kuweka historia ya kupanda mlima mrefu kuliko yote duniani.Amefika kileleni leo 19/05/2012 saa 3 asubuhi.
HONGERA SANA BWANA WILFRED MOSHI KWA UJASIRI NA USHUJAA ULIOTUONYESHA KWA WEWE KUTIMIZA NDOTO ZAKO.
Ndo maana hii thread ikaanzishwa ka unamjua mtanzania mwengine...we unafanya mchezo na mlima everest nn tupunguze wivu wa kimaendeleo hautatufikisha popote watanzaniaHebu fatilia kwa makini mkuu, watanzania wengi sana wamepanda uwo mlima, maybe useme wa kwanza kujitangaza kuwa kapanda uwo mlima.