Nyakipambo
JF-Expert Member
- Nov 10, 2011
- 435
- 141
Kwa mara ya kwanza raia wa Afghanistan watashuhudia pambano la ndondi baada ya kipindi kirefu baina ya Said Mbelwa wa Tanzania na Hamid Rahimi wa Afghanistan. Mpambano huo ulopachikwa jina la "Fight 4 Peace" utafanyika leo na utakuwa wa round 12 ambapo mabondia hao watashindania taji lililo wazi la ubingwa wa mabara kwa uzani wa kati.
Zaidi soma hapa BBC News - Afghanistan to host first professional boxing match
[/
Zaidi soma hapa BBC News - Afghanistan to host first professional boxing match
[/