Mtanzania apora Sh. bilioni 400 za Aga Khan

Pamoja na kwamba maelezo ya awali ya benki yanakanganya, lakini inawezekana siku alipokwenda kutoa fedha, dirishani, aliitwa na uongozi na akaahidi kurejea siku inayofuata. Lakini hakutokea na hakuna traces. Akapotea. Kama unavyosema, ni mchezo unaohusisha idadi kubwa ya watu wakiwamo maofisa wa benki na hata taasisi
Kama ni hivyo i hope kuna cctv huko bank
 
Nimesoma hapo kwa huyo jamaa wa Nairobi mwenye hiyo kampuni ambayo imethibitika haijasajiliwa Kenya (GR Construction Limited) nime- conclude hao Aga Khan nao wanastahili lawama, haiwezekani wafanye kazi na kampuni isiyosajiliwa, hapa nahisi baadhi ya maofisa wake watakuwa wanahusika na huo mchezo mchafu....
Barclays walishasepa,bank zao wamewaachia ABSA
 
CCTV hazina picha ya Rehmtullah??

20210118_152126.jpg
 
Sasa hela yooooote hiyo utaifanyia nini? Mimi huwa najiulizaga sana!
Chakula changu best ni ugali wa dona na matembele! Hakizidi jero! Toooba?
Utakufa kabla haijaisha in case fujo zako zikiishia kwenye kununua magari tu. Ukijimix kununua ndege miaka mitano unakuwa maskini wa kutupwa
 
Back
Top Bottom