Mtangazaji wa CLOUDS,,ALEX LWAMBANO atimuliwa kwenye mkutano wa Yanga!

yahoo

JF-Expert Member
Sep 9, 2011
3,527
1,405
Hayo yalitokea wiki hii pale mtangazaji wa clouds,aka Simba tv alipojipendekeza kwenye kikao cha waandishi wa habari kwenye jengo la klabu ya YANGA.....very nice nawapongeza wanachama wa Yanga kwa kitendo hicho kwa kuwatimua hao wafanyakazi wa simba wanaojifanya waandishi!
 
hahaha kandambili mbona mnatapatapa hivi

usicheke hao ndo watangazaji wetu kutoka VETA,badala ya kutoa taarifa juu ya kilichotokea,wao wanakua watoa amri na maelekezo! ....cheki,shafi na jofray lea wanajifanya wanashindwa kutamka BARCELONA wanatamka BARTHELONA
 
k..nya a..ye kuku akin.a bata kaharish.. magamba yamewabemenda malapa kwa kuchaguliwa viongozi
 
usicheke hao ndo watangazaji wetu kutoka VETA,badala ya kutoa taarifa juu ya kilichotokea,wao wanakua watoa amri na maelekezo! ....cheki,shafi na jofray lea wanajifanya wanashindwa kutamka BARCELONA wanatamka BARTHELONA

Hahahahaha. Hiyo ndo inavyotamkwa mkuu. Wewe unatamka baselona kana kwamba ni kiingereza/kiswahili. Mbona hushangai Gijon (ile timu Sporting Gijon) inatamkwa 'Hihon'? Tunatofautiana lugha mkuu kwa hiyo matamshi ni tofauti pia hata barca sio 'baka'.. Tujifunze taratibu tu!
 
Hayo yalitokea wiki hii pale mtangazaji wa clouds,aka Simba tv alipojipendekeza kwenye kikao cha waandishi wa habari kwenye jengo la klabu ya YANGA.....very nice nawapongeza wanachama wa Yanga kwa kitendo hicho kwa kuwatimua hao wafanyakazi wa simba wanaojifanya waandishi!

Am very sad kukuambia kuwa yaonekana ugomvi ni jadi yenu. Kwa binadamu wa kawaida kushangilia vurugu kama ile iliyotokea ni suaka mimi binafsi haliniingii akilini hata kidogo. Mi nilidhani ilikuwa ni vyema mngetumia njia ya amani kuwaondoa katika kikao. Kuonyesha kuwa mlitumia wrong approach, waandishi wengine wakawaunga mkono halafu mkaonekana hamna maana kabisa. Kwa taarifa yako clouds tv si simba tv. Nadhani itakuwa inakusugua moyo kuona simba wako katika hatua za kuwa na tv yao kamili. Huu ni mwanzo tu. Unajua maamuzi/majibu ya rufaa yenu leo?
 
Hahahahaha. Hiyo ndo inavyotamkwa mkuu. Wewe unatamka baselona kana kwamba ni kiingereza/kiswahili. Mbona hushangai Gijon (ile timu Sporting Gijon) inatamkwa 'Hihon'? Tunatofautiana lugha mkuu kwa hiyo matamshi ni tofauti pia hata barca sio 'baka'.. Tujifunze taratibu tu!

mkubwa hajambi, Akijamba mlio wa redio!!!
 
na ndio wanaotuharibia timu ya taifa,wanatumia redio kutangaza matakwa yao na wachezaji wawatakao,ona sasa timu yetu ya Taifa imekuwa ni ya kubadili makocha kila siku na sijawahi sikia akina luambano wakiongelea matatizo ya wachezaji na sio kocha

swali

tangu tuanze kufukuza makocha,kuna mabadiliko yeyete yale ktk soka letu?
 
Hahahahaha. Hiyo ndo inavyotamkwa mkuu. Wewe unatamka baselona kana kwamba ni kiingereza/kiswahili. Mbona hushangai Gijon (ile timu Sporting Gijon) inatamkwa 'Hihon'? Tunatofautiana lugha mkuu kwa hiyo matamshi ni tofauti pia hata barca sio 'baka'.. Tujifunze taratibu tu!

angalia mechi ya leo vsikie linavotamkwa kifasaha!
 
Am very sad kukuambia kuwa yaonekana ugomvi ni jadi yenu. Kwa binadamu wa kawaida kushangilia vurugu kama ile iliyotokea ni suaka mimi binafsi haliniingii akilini hata kidogo. Mi nilidhani ilikuwa ni vyema mngetumia njia ya amani kuwaondoa katika kikao. Kuonyesha kuwa mlitumia wrong approach, waandishi wengine wakawaunga mkono halafu mkaonekana hamna maana kabisa. Kwa taarifa yako clouds tv si simba tv. Nadhani itakuwa inakusugua moyo kuona simba wako katika hatua za kuwa na tv yao kamili. Huu ni mwanzo tu. Unajua maamuzi/majibu ya rufaa yenu leo?

acha lugha za kiwiziwizi hicho ni khpindi sio tv,sio tv station kama mnavozuga wanachama wenu wajinga..Mna mwaka wa tatu jengo halijamalizika kupaka rangi ndo muwe na tv....usionge uharrrrr hapa ,we itakuwa kamwaga tu!
 
Hao jamaa ni vilaza sana, sijui nani aliwadanganya kuchanganya maneno ya kingereza ndio unaonekana umechambua vizuri unachozungumzia....aibu kabisa! Ni umbumbu tu!
Hahahahaha. Hiyo ndo inavyotamkwa mkuu. Wewe unatamka baselona kana kwamba ni kiingereza/kiswahili. Mbona hushangai Gijon (ile timu Sporting Gijon) inatamkwa 'Hihon'? Tunatofautiana lugha mkuu kwa hiyo matamshi ni tofauti pia hata barca sio 'baka'.. Tujifunze taratibu tu!
 
Shame on them aibuuuuuuuuuuuuuuuuuu hata haya awana mayoyo wa clouds ..shame ....wanashindwa kutangaza list za timu za ligi zinazocheza kesho ukisikia baraca na gatafe wanajidai wako nou camp wanataja adi wachezaji wa akiba dem'n them
 
Hahahahaha. Hiyo ndo inavyotamkwa mkuu. Wewe unatamka baselona kana kwamba ni kiingereza/kiswahili. Mbona hushangai Gijon (ile timu Sporting Gijon) inatamkwa 'Hihon'? Tunatofautiana lugha mkuu kwa hiyo matamshi ni tofauti pia hata barca sio 'baka'.. Tujifunze taratibu tu!

Lugha ya Kihispania inaongelewa Hispania na nchi nyingi za Amerika ya Kusini..
Jina Barcelona lina jinsi mbili ya kutamkwa inategemea na sehemu muongeaji anapotokea...
Ukiwa Amerika ya Kusini wao hutamka "Barthelona"
Ukiwa Hispania wao hutamka "Barselona"

Halafu mkuu ni Gihon yaani hiyo "j" inatamkwa kama "h", herufi "G" inabaki kuwa G
 
yes! Ukizingtia sisi ni english/swahili speakers walitakiwa wazingtie hilo na sio kutuletea usharobaro!
 
Walahi mimi nilichoka siku niliposikia Baselona inatamka bathelona dah, mbona nilimgeukia mwenzangu kumuuliza ndio timu gani hiyo
 
Back
Top Bottom