Mtandao wa "Google Search India" watikiswa, Rais Samia akitafutwa kama dhahabu

ChoiceVariable

JF-Expert Member
May 23, 2017
43,060
49,748
Rais Samia ameitikisa India huku network Iko jam Kufuata Mamilioni ya Wahindi waki search jina la Rais Samia.

samia.png

Kwa mujibu wa rekodi za Google Search huko India jina la Rais Samia limekuwa namba 2 Kwa watu kutafuta habari zake ,hii ni baada ya yeye kufanya ziara yenye mafanikio Nchini humo.

My Take
Hii inaweza tusaidia kupata Watalii, wawekezaji na kuongeza biashara zaidi.
Haters wa Samia wanaumia na kununa 😂😂

Screenshot 2023-10-11 130500.png

----

Katika mtandao maarufu Duniani wa Google nchini India, Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan amekua mtu wa pili kwa habari zake kutafutwa sana nchini India kuliko jambo lingine lolote.

Ikumbukwe India ni taifa lenye idadi ya watu bilioni moja na milioni mia tatu ( sawa na takribani mara 21 ya idadi ya Watanzania wote) na na miongoni mwa nchi vinara kwa matumizi ya mtandao.

Jana raia wa India na mshindi wa Tuzo ya Nobel, Amartya Sen alifariki dunia lakini alizidiwa kwa kuangaliwa mitandaoni na Rais Samia.

Mwingine ni Nyota wa zamani wa Real Madrid na Chelsea, Eden Hazard, ambaye jana alitangaza kustaafu soka, alishika namba nne.

Nafasi ya kwanza ilishikwa na nyota wa mchezo wa Kriketi wa Pakistan, Babar Azam, ambaye jana alicheza vibaya kiasi cha kutolewa kwenye mechi dhidi ya Pakistan ikumbukwe Kriketi ndiyo mchezo unaopendwa zaidi nchini India, Nafasi ya pili ilishikwa na Rais Samia Suluhu Hassan.
 
Rais Samia ameitikisa India huku network Iko jam Kufuata Mamilioni ya Wahindi waki search jina la Rais Samia.

Kwa mujibu wa rekodi za Google Search huko India jina la Rais Samia limekuwa namba 3 Kwa watu kutafuta habari zake ,hii ni baada ya yeye kufanya ziara yenye mafanikio Nchini humo.

View: https://www.instagram.com/p/CyP4TOmqvCn/?igshid=MTc4MmM1YmI2Ng==

My Take
Hii inaweza tusaidia kupata Watalii, wawekezaji na kuongeza biashara zaidi.

Haters wa Samia Watanuna 😂😂

Kaka eeh Fanya uoe maana unakoelekea itakuwa shida!
 
Rais Samia ameitikisa India huku network Iko jam Kufuata Mamilioni ya Wahindi waki search jina la Rais Samia.

Kwa mujibu wa rekodi za Google Search huko India jina la Rais Samia limekuwa namba 3 Kwa watu kutafuta habari zake ,hii ni baada ya yeye kufanya ziara yenye mafanikio Nchini humo.

View: https://www.instagram.com/p/CyP4TOmqvCn/?igshid=MTc4MmM1YmI2Ng==

My Take
Hii inaweza tusaidia kupata Watalii, wawekezaji na kuongeza biashara zaidi.

Haters wa Samia Watanuna 😂😂

Endeleeni na hiyo project.

Tunawasubiri kwenye hatima yake
 
Ujinga ujinga tu!

Sifa za kijinga kabisa hizi.

Actually, ni sifa za kipumbavu hizi.

Lakini ndo mambo mnayoyaweza maana akili za kutatua changamoto za banana republic mnayoiongoza, hamna.
Hao, haters wameshaanza. Jionee walichomkaribisha nacho mama Samia:

Mabingwa wa sanaa duniani wamempeleka mama Samia kwao kabisa, Jang'ombe, halafu mtu anauliza "kwanini mama Samia kaenda na wasanii".
 
Back
Top Bottom