Uzalendo umeisha!Mimi naanza na Doto James Mghosha. Huyu alikuwa katibu mkuu wa wizara ya fedha, alilitumikia Taifa lwa uzalendo mkubwa sana. Kwasasa simsikii kabisa sijui yuko wapi?
Singida boy
alimtumikai magufuli kwa uzalendo mkubwa sanaalilitumikia Taifa lwa uzalendo mkubwa sana
Hata kama halisikiki jamaa kama kula lilikula! Labda kama lilikuwa ndezi!Mimi naanza na Doto James Mghosha. Huyu alikuwa katibu mkuu wa wizara ya fedha, alilitumikia Taifa lwa uzalendo mkubwa sana. Kwasasa simsikii kabisa sijui yuko wapi?
Mimi naanza na Doto James Mghosha. Huyu alikuwa katibu mkuu wa wizara ya fedha, alilitumikia Taifa lwa uzalendo mkubwa sana. Kwasasa simsikii kabisa sijui yuko wapi?
Sio yule mkatika viuno aliepiga pesa zimamoto?Singida boy
Nipe mji nikutegulieSingida boy
Makaputura🤣
Kangi kama kangi