Mtafutaji nisiyechoka naomba mnishike mkono nipate ajira

stevhinoz

JF-Expert Member
Jun 15, 2021
216
480
Nakuja tena kwa mara nyingine kuomba nishikwe mkono.

Natafuta ajira kwa muda mrefu nilishakuja hata hapa JF kuomba kushikwa mkono lakini sikufanikiwa.

Jitihada hazishindi kudra, nimepambana sana kwa muda mrefu lakini sijafanikiwa.

Skills zangu
Project management
Resource mobilization
Computer (Microsoft word, Excel PowerPoint and outlook)
Data collection and analysis
Graphic design (illustrator & canva)
Proposal writing and technical report writing
Community mobilization and action planning
SBCC
Swahili content creation
Teaching and learning
Training and coaching
TCPD ( Teachers Continuous Professional Development)
Swahili<>English language translation

Elimu
Master of Public Administration
Bachelor of Arts with Education
Risk Management (certificate)

Experience

10 years working experience, nimefanya kama School teacher then kama program coordinator kwenye NGOs.

Kwa sasa nina miaka zaidi ya mitatu sina ajira. Nimeangaika sana kila kona kuanzia mashuleni, NGOs, makampuni, viwanda.

Nimeishi kwa vibarua muda wote huo, ila nilisimama kwa miezi kadhaa nikarudi home maana niliumwa sana nilishtuka mgongo kazi za vibarua ni ngumu sana ndugu zangu.

Kama kuna mtu ataguswa naomba anisaidie.

MIMI NAFANYA KAZI YOYOTE, experience, elimu na skills zangu isiwe kikwazo.

Nicheki kwenye PM

Au nitumie email yangu stevhinoz@gmail.com
 
Damn!😢 Kwa catalogue yote hio na bado umekosa kazi! Pole sana mkuu. Yaani mtu mwenye master's degree unafanya kazi za vibarua! ama kuna shida sehemu?

Anyway, pole sana brother. Nakuombea mema.
Asante sana kiongozi, kiukweli napambana sana sielewi kwa nini sipewi nafasi kama zamani sababu kama ni uwezo nnajiamini nnao wa kutosha na nimewai delivery vizuri sana sehemu nilizowahi fanya kazi. Kwa sasa inabidi kupiga vibarua unaweka pembeni maisha ya laptop bila hivyo unakufa na njaa na na kutolewa vitu nje.
 
Ni changamoto sana kwa kweli.
Una driving license and/or cheti cha JKT?
 
Hii ishu huwa nahojiana na watu nawaambia kuwa Kama mtu Ni mtafutaji ama mpambanaji huwa haijalishi elimu yake

Inaweza kuwa kweli kwa asilimia kadhaa ila nadhani ujasiri wa kutoa kauli kama hizi umekuja kwa kasi sana kutokana na hali ya soko la ajira kwa sasa. If all odds remain constant, mtu huyu mwenye master's degree hata asote kwa muda gani ila uwezekano wa kufanikiwa ni mkubwa zaidi ya mwenye elimu ya chini yake.
 
Huyu anaweza akafundisha watt jiografia na masomo mengine pia. Ila Muumbaji amsaidie apate hitaji lake
 
Back
Top Bottom